Boti linawaka moto bahari ya Hindi

Boti linawaka moto bahari ya Hindi

THANK GOD JAMAA WOTE 15 KT JAHAZI ILO WAMEOKOLEWA KWA MSAADA WA WAVUVI WENZAO PIA BOTI YA AZAM III Source Radia One
Jamani tujuzeni vizuri'' mleta uzi kasema kulikuwa na abiria 30, alafu huyu anaetuapdate anasema abiria wote 15 wameokolea. Abiria walikuwa wangapi?
 
ITV Breaking News:Jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 30 inateketea kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule.Mashuhuda wamedai abiria wanajitupa majini
Chanzo cha moto??
 
teeeeh ....nchi hii bana...yaani majanga mwanzo kati mwisho..sasa hawa wanajitupa majini kukwepa moto majini sasa wanajua kuogelea au wanajitupa tu !!!! poleni abiria mnaojitupa majini

Ni kudhihirisha udhaufu wa serikali ndo maana majanga hayakatiki
 
teeeeh ....nchi hii bana...yaani majanga mwanzo kati mwisho..sasa hawa wanajitupa majini kukwepa moto majini sasa wanajua kuogelea au wanajitupa tu !!!! poleni abiria mnaojitupa majini
Mkuu ukisikia mtu anaitwa mvuvi basijua huyu hodari wa kuchezea maji (kuogelea)
 
well said mwali.
Vyombo vyote vya majini vinatakiwa kuwa na gadgets za kutransmit distress signals, at least signal hizo zingeweza kupokelewa na boat au meli iliyopo jirani na hapo, kabla hata emergency responding team haijafika eneo la tukio.

hiyo siyo kwa tz wanaofanya tahadhari baada ya janga na kwa hili wataishia kulinena mdomoni
 
Last edited by a moderator:
itv breaking news:jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 30 inateketea kwa moto katika bahari ya hindi eneo la mtukule.mashuhuda wamedai abiria wanajitupa majini

haya majanga ya boti kuwaka moto na kuzama yamezidi,kuna kila sababu za kufanya ukaguzi wa mara kwa mara katika hivi vyombo,na kuzuia bandari bubu
 
Naonaga kwenye maadhimisho ya kitaifa kuna askari wana maji hivii wanafanya kazi zao kwa zana zipiii??maana majanga ya majini yakitokea sijui wanakuepo wapi
 
TZ katika upande wa emergency bado sana aise, Nashukuru kuwa wahanga wote wameokolewa ila ingekuwa kwa kusubiri msaada wa kitengo husika habari inge badilika. hii.
 
ITV Breaking News:Jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 30 inateketea kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule.Mashuhuda wamedai abiria wanajitupa majini

kama mmewaona wanajitupa majini kwanini hamuendi kuwaokoa?
 
Back
Top Bottom