Jamani, eleweni thread!
Hii noti ni just ceremonial denomination, na haitaingia kwenye mzunguko wa fedha!
Ila kitendo cha kutengeneza noti hii mimi nakiita ulevi tu, maana ni kuchezea rasilimali za nchi, na kutafuta means zote za kujiongezea kipato 'kichafu' kwa baadhi ya maofisa wa BoT!..
Noti hiyo itasaidia nini!
Eti kwaajili ya kusherekea niaka 50 ya UHURU,, uhuru wa nani?, nani yuko huru?, nani ameshauri upumbafu huu, na nchi inayosherekea uhuru huu ni ipi, kuna Tangantika hapa?, ....my hairs!
Ni wangapi(percentage-wise) ya waTanzania watakuwa na uwezo wa kuinunua fedha hiyo kwa purpose ya kuiweka mchagoni kama pambo?
Lakini watangulizi wetu walishasema kuwa dalili ya mvua ni mawingu!...ukiona inatengenezwa noti ya denomination hiyo ujue kuwa hiyo idea ndiyo iliyopo vichwani mwa maafisa hawa, na believe me or not, this note is on the pipeline, and soon or later you will test its bitterness!
Shenzi kabisa![/QUOTE]
Hiyo bluu nimeelewa sasa muanzisha thread hajatuambia hivyo. Thanks in advance
But hiyo red mmmmhhhh kwani umeamkaje PJ leo???