BoT yatangaza Noti mpya

Ili uboreshe ni lazima utengeneze mpya. Kuna sababu ya msingi? Kutengeneza noti kunahitajika pesa za kigeni, ni busara kuacha kuagiza vifaa kujikinga na Corona? Mbona ilielezwa note zetu ni antivirus? Kuna jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maswali niliojiuliza pia lkn hakuna wakuweza kunipa jibu sahihi ..nikaishia kuandika hicho. Maana sioni upya zaidi ya marekebisho ambayo ni kweli yatahitaji process za utengenezaji kama kawaida.

Sisi ni matajiri hela kwetu sio ishu tunazo kwenye ghala.. hata msosi tunao mwingi tu
Walisikika wenye nchi
 
Hiyo kweli bandia. Angalia upindo unao ngaa ni mpana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2020-04-04-08-12-42.jpeg
    52.8 KB · Views: 11
  • Screenshot_2020-04-04-08-12-54.jpeg
    54.3 KB · Views: 10
jumatatu apa ofisini kwangu nilipokea noti ya elfu 5 kwenye upindo unaong'aa kuna neno BOT lakini features zingine zote zipo vile vile,na nilifikiri ni bandia,

Nafikiri watu tuliowengi bado hatujajua kama kuna noti mpya zimeingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia post yako nilioijibu ile picha ni moja umeituma mara mbili.. unashughulishaje macho sasa ktk picha moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa mzee yani upo serious kbsaa...
Mimi nimetuma picha moja na ya pili nili quote,
Zote ni rofauti...

Imebd nipge screenshot, ulifungua hio attachment kuona zinafanana, au hata hizo fingerpoint hukuzielewa?
Au macho yanaona ni picha moja hio?
 
Unajitambua wewe?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…