BoT Vs Kitila Mkumbo Vs Mwigulu; Wananchi tumsikilize nani sakata la akiba ya dhahabu?

BoT Vs Kitila Mkumbo Vs Mwigulu; Wananchi tumsikilize nani sakata la akiba ya dhahabu?

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
13,294
Reaction score
42,808
BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha?

Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba wanauza akiba ya dhahabu iliyopo Benki Kuu ya Tanzania Serikali kutoka mchi wahisani na washirika hazina tena nia ya kutoa misaada kwa Afrika, kwa hivyo wanajipanga upya wenyewe. Huyu ni Waziri katika ofisi ya Rais.

Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli na kwamba kuna upotoshaji. Sasa nani ametupotosha? Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais – Mipango, Bwana Kitila Mkumbo? Ametoa maneno hayo wapi?

Kitila Mkumbo anasema “Misaada ya nje imepungua, tunahitaji njia mbadala za kupata fedha”. Halafu Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT anasema madai hayo siyo ya kweli. Kwani kuna serikali mbili za MaCCM? Nani ambaye anasema uongo?

Tunamsikiliza KITILA MKUMBO aliyezunguma akiwa London, United Kingdom na kusema kwamba Serikali imepanga kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu ili kupata fedha za kusaidia kufadhili miradi mbalimbali ya miundombinu. Porojo nyingine hatusikilizi.
 
Attachments

  • 20260131_103229.jpg
    20260131_103229.jpg
    312 KB · Views: 12
  • 20260131_103223.jpg
    20260131_103223.jpg
    163.2 KB · Views: 9
BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha?

Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba wanauza akiba ya dhahabu iliyopo Benki Kuu ya Tanzania Serikali kutoka mchi wahisani na washirika hazina tena nia ya kutoa misaada kwa Afrika, kwa hivyo wanajipanga upya wenyewe. Huyu ni Waziri katika ofisi ya Rais.

Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli na kwamba kuna upotoshaji. Sasa nani ametupotosha? Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais – Mipango, Bwana Kitila Mkumbo? Ametoa maneno hayo wapi?

Kitila Mkumbo anasema “Misaada ya nje imepungua, tunahitaji njia mbadala za kupata fedha”. Halafu Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT anasema madai hayo siyo ya kweli. Kwani kuna serikali mbili za MaCCM? Nani ambaye anasema uongo?

Tunamsikiliza KITILA MKUMBO aliyezunguma akiwa London, United Kingdom na kusema kwamba Serikali imepanga kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu ili kupata fedha za kusaidia kufadhili miradi mbalimbali ya miundombinu. Porojo nyingine hatusikilizi.
Kitila Mkumbo alikuwa bado hajapewa hiyo script ya BOT kwa hiyo ameongea kama mtanzania yoyote alivyoisikia hiyo story ya kuuza dhahabu. Wakiambiwa rekebisheni tume ya uchaguzi mambo yaende vizuri wanashupaza shingo wanajipa moyo kwamba watanzania wasahaulifu ukiwapiga tukio wakati wa uchaguzi, baada ya uchaguzi wanasahau. Safari hii inaelekea wabongo wamegoma kusahau. Unaenda Vatican ukitoka wapenda haki wanarudi kufuta nyayo, unatafuta maseneta kulevel mambo wapenda haki wanarudi ulimopita kupiga msumali.
 
Misaada imepungua sana kutokana na October 29,
Sasa hivi mawaziri wanakimbizana huku na kuhu wakijaribu kupooza mambo...
Walifikiri China au Waarabu watatoa Hela...na wakitoa ni kiduchu

Tunaposema tujitahidi tuwe na Demokrasia ya kweli wanashupaza shingo...
Sasa Wana miradi mingi sana...na inahitaji Hela haswa...
Ukienda Bank za China (Exim) kukopa riba yake ni kubwa sana
 
Usimsikilize mtu..
Mtakuja kujuwa huko badaye

Ova
 
BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha?

Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba wanauza akiba ya dhahabu iliyopo Benki Kuu ya Tanzania Serikali kutoka mchi wahisani na washirika hazina tena nia ya kutoa misaada kwa Afrika, kwa hivyo wanajipanga upya wenyewe. Huyu ni Waziri katika ofisi ya Rais.

Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli na kwamba kuna upotoshaji. Sasa nani ametupotosha? Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais – Mipango, Bwana Kitila Mkumbo? Ametoa maneno hayo wapi?

Kitila Mkumbo anasema “Misaada ya nje imepungua, tunahitaji njia mbadala za kupata fedha”. Halafu Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT anasema madai hayo siyo ya kweli. Kwani kuna serikali mbili za MaCCM? Nani ambaye anasema uongo?

Tunamsikiliza KITILA MKUMBO aliyezunguma akiwa London, United Kingdom na kusema kwamba Serikali imepanga kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu ili kupata fedha za kusaidia kufadhili miradi mbalimbali ya miundombinu. Porojo nyingine hatusikilizi.

Was Dropping The Gold Standard A Mistake? | Economics Explained

View: https://m.youtube.com/watch?v=S-6WNmL26wE

Is returning to the gold standard something that could fix the economic issues we are facing today?
Source : economics explained
 
Nixon and the End of the Bretton Woods System, 1971–1973​

On August 15, 1971, President Richard M. Nixon announced his New Economic Policy, a program “to create a new prosperity without war.” Known colloquially as the “Nixon shock,” the initiative marked the beginning of the end for the Bretton Woods system of fixed exchange rates established at the end of World War II.

gold-window.jpg

Secretary of the Treasury John Connally on the day that President Richard Nixon announced his New Economic Policy, August 15, 1971. (Nixon Presidential Library)

Under the Bretton Woods system, the external values of foreign currencies were fixed in relation to the U.S. dollar, whose value was in turn expressed in gold at the congressionally-set price of $35 per ounce. By the 1960s, a surplus of U.S. dollars caused by foreign aid, military spending, and foreign investment threatened this system, as the United States did not have enough gold to cover the volume of dollars in worldwide circulation at the rate of $35 per ounce; as a result, the dollar was overvalued.

Presidents John F. Kennedy and Lyndon B. Johnson adopted a series of measures to support the dollar and sustain Bretton Woods: foreign investment disincentives; restrictions on foreign lending; efforts to stem the official outflow of dollars; international monetary reform; and cooperation with other countries. Nothing worked.

Meanwhile, traders in foreign exchange markets, believing that the dollar’s overvaluation would one day compel the U.S. government to devalue it, proved increasingly inclined to sell dollars. This resulted in periodic runs on the dollar.

It was just such a run on the dollar, along with mounting evidence that the overvalued dollar was undermining the nation’s foreign trading position, which prompted President Richard M. Nixon to act.

On August 13, 1971, Nixon convened a meeting of his top economic advisers, including Secretary of the Treasury John Connally and Office of Management and Budget Director George Shultz, at the Camp David presidential retreat to consider a program of action.

Notably absent from the meeting were Secretary of State William Rogers and President’s Assistant for National Security Affairs Henry Kissinger. After two days of talks, on the evening of August 15, Nixon announced his New Economic Policy in an address to the nation on “The Challenge of Peace.”

Asserting that progress in bringing an end to U.S. involvement in the war in Vietnam meant that it was time for Americans to turn their minds to the challenges of a post-Vietnam world, Nixon identified a three-fold task: “We must create more and better jobs; we must stop the rise in the cost of living; we must protect the dollar from the attacks of international money speculators.”

To achieve the first two goals, he proposed tax cuts and a 90-day freeze on prices and wages; to achieve the third, Nixon directed the suspension of the dollar’s convertibility into gold.

He also ordered that an extra 10 percent tariff be levied on all dutiable imports; like the suspension of the dollar’s gold convertibility, this measure was intended to induce the United States’ major trading partners to adjust the value of their currencies upward and the level of their trade barriers downward so as to allow for more imports from the United States.

A success at home, Nixon’s speech shocked many abroad, who saw it as an act of worrisome unilateralism; the assertive manner in which Connally conducted the ensuing exchange rate negotiations with his foreign counterparts did little to allay such concerns.

Nevertheless, after months of negotiations, the Group of Ten (G–10) industrialized democracies agreed to a new set of fixed exchange rates centered on a devalued dollar in the December 1971 Smithsonian Agreement.

Although characterized by Nixon as “the most significant monetary agreement in the history of the world,” the exchange rates established in the Smithsonian Agreement did not last long.

Fifteen months later, in February 1973, speculative market pressure led to a further devaluation of the dollar and another set of exchange parities.

Several weeks later, the dollar was yet again subjected to heavy pressure in financial markets; however, this time there would be no attempt to shore up Bretton Woods.

In March 1973, the G–10 approved an arrangement wherein six members of the European Community tied their currencies together and jointly floated against the U.S. dollar, a decision that effectively signaled the abandonment of the Bretton Woods fixed exchange rate system in favor of the current system of floating exchange rates.
Source : Milestones in the History of U.S. Foreign Relations - Office of the Historian
 
Ray Dalio: Sees Gold as Safer Than the US Dollar$ |Raydaliomotivation |12Jan_2026.

View: https://m.youtube.com/watch?v=yHJ-9goT2tw
Bridgewater Associates Founder Ray Dalio weighs in on the state of the US economy and the five forces he sees impacting domestic and global markets today. He speaks with Bloomberg's Lisa Abramowicz at the Greenwich Economic Forum.

Billionaire Ray Dalio said that gold is “certainly” more of a safe haven than the US dollar and the metal’s record-setting rally echoes the 1970s, when it surged during a time of high inflation and economic instability.

The remarks from Dalio — who founded the hedge-fund firm Bridgewater Associates — came during an appearance at a conference on Tuesday, when he was asked whether he agreed with the view of Citadel’s Ken Griffin that gold’s rise reflected anxiety about the US currency.

“Gold is a very excellent diversifier of the portfolio,” Dalio said during a panel discussion with Bloomberg’s Lisa Abramowicz at the Greenwich Economic Forum in Connecticut.

“So if you were to look at just from the strategic asset allocation mix perspective, you would probably have as the optimal mix something like 15% of your portfolio in gold.”

The federal government shutdown and speculation that the Federal Reserve will keep cutting interest rates even as inflation remains elevated has pushed the price of gold up by more than 20% since the end of July to roughly $4,000 an ounce.

Meanwhile, the dollar has weakened against every major currency this year after the uncertainty unleashed by President Donald Trump sent it into the biggest slide since the 1970s, not long after the US abandoned the gold standard. Dalio said he sees gold as a strong store of value at a time of rising government debt burdens, geopolitical tensions, and the erosion of confidence in the stability of national currencies.

He noted that gold’s resurgence mirrors the early 1970s, when it also rose in tandem with stocks.He expressed reservations about the scale of the stock market’s recent rise, which has stoked concern about an artificial-intelligence bubble as valuations have soared.

“This is something that feels frothy to me,” Dalio said.Dalio said the speculation around AI has the hallmarks of a bubble and drew parallels to past innovation booms, from the late 1920s, when patent activity and technological breakthroughs fueled speculative excess, to the dot-com era of late 1990s.
 
Kitimbo ingependezaBBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha?

Back
Top Bottom