BOT sasa kweli mnasimamia sheria ila watu wanaitajika elimu

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
3,810
Points
2,000

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2010
3,810 2,000
Kiukweli ktk historia ya taifa hili sasa kuna Gavana kweli amesimama kwa miguu yake kusimama kanuni na sheria za BOT kwa taasisi za fedha ila shida naiona watu. Wengi hawajuwi kuwa faini BOT anazitowa kwa mabank kwa kushindwa ku comply with regulation of BOT huwa ni kubwa sana kiasi bank ikifanya mchezo inafungwa.

Watanzania Labda wanajiuliza Kwanini? Labda niwakumbushe moja ya bank kubwa sana hapa nchini. Ambayo ilikuwa ikitakatisha pesa na kilicho ipata ilikuwa nikufungwa bank ilio kuwa ikiongoza kwa ukwasi hapa Tz Yani ilikuwa ukiweka bank zote yenyewe ilikuwa Namba moja. Ila leo haipo tena.

Makosa yanaweza kufanyika na bank ktk utendaji usipo yapiga fine yakutosha unaweza kujikuta hazina yote ya taifa imehama au over single day Uchumi umeharibika mataifa kama UK na Marekan ni moja ya mataifa bank wanaiangalia kwa macho. Mia kama sio mawili wakijuwa chombo hiki ni chombo muhimu ktk kulinda thaman ya dola yao hivyo wameunda system ngumu kwa majizi au watakatisha pesa kupita.

Unaweza kushangaa ni wamarekan Wali toa alert kwetu kuwa bank tunaona Namba one inafanya mchezo mchafu.

Tukirudi Tanzania mm naogopa hata kuandika maana nimewahi Sema kua MD wa bank wakifanya mchezo files zikifunuliwa watanyea debe na sijuwi kama miaka miwili ijayo keso hazitosomwa kiukweli watu walicheza na pesa ya serikal na makampun zerikal ina hisa acheni Namba tusome ila Kule sio kuzuri. Bot kazeni buti tunafika.
 
stinger_bug

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Messages
859
Points
1,000

stinger_bug

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2019
859 1,000
Toa upumbavu wako hapa. Wewe hata ukifa shetani atakukataa. BOT inashindwa kuimarisha uchumi wa watu, inawatumbukiza mamilioni ya watu kwenye kufilisika na ufukara kila siku. Hii awamu inaweza show-off za kishamba na majigambo ya kijinga tu.
 
Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
687
Points
1,000

Trust None

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2018
687 1,000
Kiukweli ktk historia ya taifa hili sasa kuna Gavana kweli amesimama kwa miguu yake kusimama kanuni na sheria za BOT kwa taasisi za fedha ila shida naiona watu. Wengi hawajuwi kuwa faini BOT anazitowa kwa mabank kwa kushindwa ku comply with regulation of BOT huwa ni kubwa sana kiasi bank ikifanya mchezo inafungwa.

Watanzania Labda wanajiuliza Kwanini? Labda niwakumbushe moja ya bank kubwa sana hapa nchini. Ambayo ilikuwa ikitakatisha pesa na kilicho ipata ilikuwa nikufungwa bank ilio kuwa ikiongoza kwa ukwasi hapa Tz Yani ilikuwa ukiweka bank zote yenyewe ilikuwa Namba moja. Ila leo haipo tena.

Makosa yanaweza kufanyika na bank ktk utendaji usipo yapiga fine yakutosha unaweza kujikuta hazina yote ya taifa imehama au over single day Uchumi umeharibika mataifa kama UK na Marekan ni moja ya mataifa bank wanaiangalia kwa macho. Mia kama sio mawili wakijuwa chombo hiki ni chombo muhimu ktk kulinda thaman ya dola yao hivyo wameunda system ngumu kwa majizi au watakatisha pesa kupita.

Unaweza kushangaa ni wamarekan Wali toa alert kwetu kuwa bank tunaona Namba one inafanya mchezo mchafu.

Tukirudi Tanzania mm naogopa hata kuandika maana nimewahi Sema kua MD wa bank wakifanya mchezo files zikifunuliwa watanyea debe na sijuwi kama miaka miwili ijayo keso hazitosomwa kiukweli watu walicheza na pesa ya serikal na makampun zerikal ina hisa acheni Namba tusome ila Kule sio kuzuri. Bot kazeni buti tunafika.
MKUU ULIISHIA DARASA LA NGAPI? KWA MWANDIKO HUU LEO BUKU 7 HUPATI.

HATA UKIRUDIA KUSOMA UKAREKEBISHA, WANANAOKUJA WATASOMA HAPA NILIPO 'QUOTE'

BEN SAANANE YUKO WAPI?
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
35,031
Points
2,000

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
35,031 2,000
MKUU ULIISHIA DARASA LA NGAPI? KWA MWANDIKO HUU LEO BUKU 7 HUPATI.

HATA UKIRUDIA KUSOMA UKAREKEBISHA, WANANAOKUJA WATASOMA HAPA NILIPO 'QUOTE'

BEN SAANANE YUKO WAPI?
Mkuu hongera kwa Uzalendo huu, hata kama ataedit original tutaisoma hapo
 
Dereva wa Kirikuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Messages
728
Points
1,000

Dereva wa Kirikuu

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
728 1,000
Kiukweli ktk historia ya taifa hili sasa kuna Gavana kweli amesimama kwa miguu yake kusimama kanuni na sheria za BOT kwa taasisi za fedha ila shida naiona watu. Wengi hawajuwi kuwa faini BOT anazitowa kwa mabank kwa kushindwa ku comply with regulation of BOT huwa ni kubwa sana kiasi bank ikifanya mchezo inafungwa.

Watanzania Labda wanajiuliza Kwanini? Labda niwakumbushe moja ya bank kubwa sana hapa nchini. Ambayo ilikuwa ikitakatisha pesa na kilicho ipata ilikuwa nikufungwa bank ilio kuwa ikiongoza kwa ukwasi hapa Tz Yani ilikuwa ukiweka bank zote yenyewe ilikuwa Namba moja. Ila leo haipo tena.

Makosa yanaweza kufanyika na bank ktk utendaji usipo yapiga fine yakutosha unaweza kujikuta hazina yote ya taifa imehama au over single day Uchumi umeharibika mataifa kama UK na Marekan ni moja ya mataifa bank wanaiangalia kwa macho. Mia kama sio mawili wakijuwa chombo hiki ni chombo muhimu ktk kulinda thaman ya dola yao hivyo wameunda system ngumu kwa majizi au watakatisha pesa kupita.

Unaweza kushangaa ni wamarekan Wali toa alert kwetu kuwa bank tunaona Namba one inafanya mchezo mchafu.

Tukirudi Tanzania mm naogopa hata kuandika maana nimewahi Sema kua MD wa bank wakifanya mchezo files zikifunuliwa watanyea debe na sijuwi kama miaka miwili ijayo keso hazitosomwa kiukweli watu walicheza na pesa ya serikal na makampun zerikal ina hisa acheni Namba tusome ila Kule sio kuzuri. Bot kazeni buti tunafika.
Mkuu
Unahoja ya msingi hapa, wengi humu upepo mwingi kichwanii..kama unavyowasoma na maandiko yao..

Mimi nampongeza gavana ameonyesha mfano kwa yule mchonga vyeti wa TIB, hili ndilo Rais alitaka sababu wahuni kama hawa wanatuchelewesha na matumaini wengine watakua washaanza kumwelewa gavana mpya
 
Forum statistics

Threads 1,382,427
Members 526,380
Posts 33,828,310
Top