BOT nawashitakia huduma za mabenki warekebishe vikasoro vidogo hivi

BOT nawashitakia huduma za mabenki warekebishe vikasoro vidogo hivi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,140
Reaction score
96,164
1. Almost all banks haziweki "wazi" gharama za kufanya miamala kutoka benki akaunti kwenda kwenye mitandao ya simu and vice versa. Inabidi gharama hizi ziwe wazi na si za kutafuta kama sindano. Kwanini zisiwekwe kwenye website zao? Wanaficha nini?

2. ATM mara nyingi zinakuwa hazina risiti! Risiti inasaidia kujau balance yako unapomaliza muamala wa kutoa hela kwenye ATM


Ni hayo kwa leo.
 
Back
Top Bottom