BoT na noti mpya 2009

Kama anavyosema Fidel, wabongo wamakwisha chukua chao mapema hasa mkijua kuwa watu wa WB nao wanajulikana sana kwa kuchukua commission za 10%i na hawa jamaa wetu waliopo BOT si wametoka huko huko!! Hiyo advertisement ni kifumba macho tu.
Mi bado siamini hivyo (eti lazima wamechukua chao mapema). Naamini kuwa kila kitu kiko vema kabisa na mchakato uko wazi kabisa kwani wanajua kwamba watanzania si mabwege tena! Wakisahau basi tunakutana 'kwa Pilato' within 5yrs tu.
 
BoT to introduce new banknotes​

By Mkinga Mkinga

THE CITIZEN​

The Bank of Tanzania (BoT) plans a major change of the country's currency notes, some five years since the money currently in circulation was introduced.

The central bank has in a notice published in the media last month, and also posted on its website, invited tenders for the printing of the currency notes.

This comes in the wake of reports that some businessmen had withdrawn from their bank accounts billions of shillings stolen through various corruption scandals.

Contacted for comment on the BoT move, some financial experts in Dar es Salaam cited the infamous External Payment Arrears (EPA) account scandal, through which Sh133 billion was irregularly paid out to some 22 companies and abuse of office for personal gain by some senior government officials as some of factors behind the planned currency changes.

But the minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, disagreed with that position, telling The Citizen in a telephone interview yesterday that the currency changes planned by the BoT had nothing to do with EPA scam.

"As a minister I can assure you that the EPA issue is not among those which have made the Government decide to change the currency," Mr Mkulo said.

However, BoT officials responsible for currency management, declined to comment when asked to shed some light on the reported currency changes.

According to the central bank's notice, the deadline for bidders to express their interest in printing the Bank of Tanzania currency notes is next Wednesday.

Sources within the bank said the BoT had decided to change notes as part of a plan to mop up the money paid out to some businessmen through the EPA scam.

The sources said that as the crackdown on the EPA scandal suspects intensified, some of them reportedly withdrew large amounts of the loot from their bank accounts, in a move, which had stunned the Government.

"About Sh18 billion was withdrawn from several local banks by the EPA suspects as the Government was planning to seize their assets and confiscate properties. This is a huge sum of money in the local transactions," the source said.

The source said that considering the global financial crisis, the change of currency would not have been advisable, but that it was necessary to mop up the "dirty money" to ensure economic stability.

The central bank's invitation of tenders means that Thomas De La rue, which has been printing Tanzanian currency, is not guaranteed continuation of the contract.

The Government's media advertisement says in part: "The Bank of Tanzania has set aside funds for various activities during the financial year 2008/09.

It is intended that part of the said funds will be applied to cover eligible payments under a contract for printing currency notes of various denomination to meet the payment requirements of the United Republic of Tanzania."

Through the advert, the BoT has invited "reputable and experienced firms worldwide" to bid for the contract to print the country's new notes.

The plan to change the currency, the sources said, was also partly due to the central bank's desire to remove from the notes the signatures of two former officials implicated in various scandals.

The current notes bear the signatures of former BoT Governor Daudi Ballali, who was sacked by President Jakaya Kikwete after it was revealed by an international audit firm, Ernst & Young, that the BoT lost Sh133 billion under his watch.

The notes also bear the signature of former Finance Minister Basil Mramba, who is facing abuse of office charges at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam.

Yesterday, Dr Haji Semboja, of the Economic Research Bureau at the University of Dar es Salaam told The Citizen that he saw "no substantive reason for the Government to implement such a project at this time".

He said that such changes were normally made when a new administration wanted to have its own notes.

"Sometimes, a new central bank management wants to come up with new things that can be identified with their practice," he said.
But he warned that changing notes usually had disadvantages, especially in the developing countries.

"Let them make sure that no mwananchi loses money in the process. Let the change be gradual such that we do not wake up one day and the note is changed," he said.

Dr Semboja ruled out a bid to control inflation as a factor in the decision to change the currency notes.

"Other countries have in the past changed their notes to control inflation. This cannot be the case in Tanzania as inflation is still relatively low," he said.

The Government last changed bank notes in 2003, when it introduced into circulation denominations of Sh500, Sh1,000, Sh2,000, Sh5000, and Sh10, 000.

At that time, all bank notes in the denominations of Sh10, Sh20, Sh500, Sh1,000, Sh5,000 and Sh10,000, which had been circulating, were withdrawn but continued to be exchanged only at the central bank.

In 1966, Tanzania broke away from the East African Currency Board and issued its own currency in the denominations of Sh5, Sh10, Sh20 and Sh100.
 
Hizi njemba zitarudisha mabulungutu yao ya ufisadi bank haraka sana. Kwa maoni yangu yeyote anayetaka kudeposit shilingi milioni 100 na kuendelea inabidi aeleze chanzo cha mapato yake kama maelezo yake hayaridhishi basi serikali itaifishe pesa hizo. Maana hawa jamaa wanaweza kuwapa ndugu, jamaa na marafiki milioni 100 au hata zaidi kwenda kudeposit na wakalipwa commission na wenye pesa.
 
Nasikia wanataka ku introduce note ya 100,000 toba twafa! twaelekea Zimbabwe
 
HERI YA MWAKA MPYA!!

Kulikuwa na kamapango ka kuwa na noti za pamoja katika East Africa Community tutarajie mabadiliko ya noti in less than 5 years... ndio maana nafikiri hii yote ni waste of money and lack of strategy... the whole thing is financed by the World bank...Hatuwezi kukopa kuchapisha noti...kwa ajili ya kuzuia wizi uliotokea ambao kwa hakika hakuna mtu mwenye maburungutu nyumbani.
 
Du! Kazi ipo kweli kweli.

Maana kama wamezembea mpaka mafisadi wametoa mapesa yao benki, basi hao mafisadi wananunua Dolas, Euros, Pounds na wanazipeleka nje ya nchi kwa mabrief case au wanazificha hizo hela za kigeni ndani mwao.

Ndo maana dola imekuwa ghali sana Tanzania, imagine Dola moja ni sawa na Shs 1340 hivi. Ni kwamba kuna demand kubwa ya foreign currency.

So kama mafisadi wana mabilioni yao, simply wananunua foreign currency. Labda cha maana wawadhibiti wenye Bureau de changes.

Poleni sana Bwana Mkulo na Prof Ndulu, hapa bado mafisadi wanapeta.
 
Nasikia wanataka ku introduce note ya 100,000 toba twafa! twaelekea Zimbabwe

Sidhani kama hili lina ukweli, maana pesa zetu zina thamani ukilinganisha na pesa ya Zimbabwe. Labda wataintroduce noti ya 20,000 lakini kwa maoni yangu hata hiyo sidhani kama kuna umuhimu wa kuwa nayo.
 
Du! Kazi ipo kweli kweli.

Maana kama wamezembea mpaka mafisadi wametoa mapesa yao benki, basi hao mafisadi wananunua Dolas, Euros, Pounds na wanazipeleka nje ya nchi kwa mabrief case au wanazificha hizo hela za kigeni ndani mwao.

Ndo maana dola imekuwa ghali sana Tanzania, imagine Dola moja ni sawa na Shs 1340 hivi. Ni kwamba kuna demand kubwa ya foreign currency.

So kama mafisadi wana mabilioni yao, simply wananunua foreign currency. Labda cha maana wawadhibiti wenye Bureau de changes.

Poleni sana Bwana Mkulo na Prof Ndulu, hapa bado mafisadi wanapeta.

Kama hatua hii ni ya kuwabana mafisadi walioficha fedha zao majumbani...Then ni kweli kutokana na pointi yako ya kuhusu foreign currency ie US dollars inapokuwa na mantiki.
 
Tanzania’s apex bank to introduce new banknotes

African Press Agency -Dar es Salaam (Tanzania)

The Bank of Tanzania is planning a major change to the country’s banknotes, five years after the currency currently in circulation was introduced on the local market, APA learnt here Thursday.

In a notice published in the media and also posted on its website, the central bank has invited tenders for the printing of the new currency notes.

This comes in the wake of reports that some businessmen had withdrawn from their bank accounts billions of shillings stolen through various corruption scandals.

Contacted for comment on the Central Bank’s move, some financial experts in Dar es Salaam cited the infamous External Payment Arrears (EPA) account scandal, through which 133 billion shillings was irregularly paid out to 22 companies and abuse of office for personal gain by some senior government officials as some of the factors behind the planned currency changes.

But Finance and Economic Affairs Minister Mustafa Mkulo disagreed with that position, telling APA Thursday that the planned currency changes had nothing to do with EPA scam.

"As a minister, I can assure you that the EPA issue is not among those which have made the government decide to change the currency," Mkulo said.

However, central bank officials responsible for currency management, declined to comment when asked to shed some light on the reported currency changes.

According to the central bank’s notice, the deadline for bidders to express their interest in printing the Bank of Tanzania currency notes is Wednesday next week.

Habari ni moja lakini reporting tofautitofauti...
 
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.

Duh...mkuu unaongea utadhani WB inaongozwa na malaika.!!
 
Am still not praying for it!

Kama tungekuwa na akili tungepunguza matumizi ya cash, tuanze kutumia cards kama wezetu wenye akili wanavyofanya. Na tungepunguza sifuri moja kwenye noti zetu. Hili linawezekana kufanyioka kwenye miji yote mikubwa Tanzania, na kuendelea taratibu kwenye miji midogo, ingepunguza uhalifu kwa kiasi kikubwa sana.
Swali sijui ni kwanini hatufanyi hivyo.
 
Duu kaka yaani uko hatua mia mbele ya viongozi wetu.Yaani honestly sikulijua hili mapema hasa hilo la matumizi ya card mbadala wa cash.Hongera kwa mtazamo huu.
 
Sidhani kama hili lina ukweli, maana pesa zetu zina thamani ukilinganisha na pesa ya Zimbabwe. Labda wataintroduce noti ya 20,000 lakini kwa maoni yangu hata hiyo sidhani kama kuna umuhimu wa kuwa nayo.

Pesa za siku hizi si chochote, Fweza ilikuwa enzi zetu zileee! Unawahi kupanda gari kutoka Pugu sec, unashuka Mnazi mmoja na kutembea mpaka pale Kisutu (siku hizi pana magorofa) unachagua kibanda na kusimama foleni baada ya muda unaingia ndani unapata service yako unalipa Tsh tano tu baadaye huyooo unatokomea kwa shopping na jioni unarudi Pugu ukiwa mtulivu kabisa,
 
Imani mkuu si unajua tena? Nadhani mkuu Pasco anawaamini WB kama Transparency International kwa kiwango flani katika masuala haya

Au amesahau kwamba hata Paul Wolfowitz (Former WB president) alikuwa huko.

World Bank President Paul Wolfowitz has resigned his post, effective June 30.

Embattled World Bank President Paul Wolfowitz gives a press conference in Brussels.
(Gerard Cerles/AFP/Getty Images)An internal panel tasked with investigating the lucrative pay and promotion package Wolfowitz arranged in 2005 for girlfriend Shaha Riza found him guilty of breaking bank rules.

The committee also found that he tried to hide the salary and promotion package from top ethics and legal officials within the bank. The report added that there is a "crisis in the leadership" at the World Bank.

Wolfowitz is the first World Bank president to ever leave the bank under a cloud of scandal.
 
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.
Nani kakwambia?
 
Kama tungekuwa na akili tungepunguza matumizi ya cash, tuanze kutumia cards kama wezetu wenye akili wanavyofanya. Na tungepunguza sifuri moja kwenye noti zetu. Hili linawezekana kufanyioka kwenye miji yote mikubwa Tanzania, na kuendelea taratibu kwenye miji midogo, ingepunguza uhalifu kwa kiasi kikubwa sana.
Swali sijui ni kwanini hatufanyi hivyo.
Tanzania ya kufikirika hiyo.
Kama umepata exposure ya nchi hizo zilizoendelea halafu ukaland pale Mwl. Nyerere Airport especially mchana , unanielewa nasema nini.
 
New banknotes: BoT governor speaks out

By Mkinga Mkinga

Bank of Tanzania (BoT) Governor Benno Ndulu confirmed yesterday that the "current state of affairs in the country" had necessitated the plan to change its currency.

However, Prof Ndulu would not go into the details on the circumstances that have forced the Government to introduce new currency bank notes to replace those that have been circulating for the past five years.

Speaking with The Citizen by telephone from New York, where he is attending a United Nations meeting, Prof Ndulu said that a general decision had been reached that the current currency notes be changed.

Yesterday, The Citizen reported exclusively that the BoT planned a major change of the country's currency notes, having advertised a tender last month inviting reputable companies to bid for the printing of the new currency notes.

Speaking to the Citizen yesterday, Prof Ndulu said: "Though we have generally agreed to change the current banknotes, we have not reached a decision on the specifics on many of the issues involved in this exercise."
However, he pointed out that those would be determined once a printer was found and the contract signed.

"As the top management of the bank, there are matters we need to consult on or discuss with the printer. These are decisions we can't make without the printer's input," he said.

Asked if the change would also involve the introduction of higher denominations or scrapping lower ones, Prof Ndulu said that was one of the issues that had yet to be determined.

He said the policy makers would meet later to look at the "prevailing situation in the country before deciding any changes on the denominations".

As part of the changes, the Governor said the bank would also cancel its contract with the current printer of the country's currency notes.
It was for that reason, he said, that BoT had decided to float a tender in its search for a new company to print the new notes.

He said the former printer, Thomas de la Rue, had completed its contract.

Prof Ndulu also said that the search for another printer was meant to comply with the requirements of the Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) Act, which states that the currency printer should be changed every five or seven years.

"The current printer has been working with the BoT for the past seven years. We have now reached the limit according to the law and that is partly why we are looking for a new printer."

In our exclusive report yesterday, Dr Haji Semboja, of the Economic Research Bureau at University of Dar es Salaam, told The Citizen that he saw no good reason for the Government to implement such a project now.

He said that currency changes are usually made with the coming to power of a new administration.

"Sometimes, new central bank managements want to come up with new things that can be identified as their style," he said.

He said other countries changed their notes to control inflation but that was not the case with Tanzania, whose inflation is still relatively low.

The BoT, in a notice published in tnewspapers last month, and also posted on its website, invited tenders for the printing of the currency notes.

This comes in the wake of reports that some businessmen had withdrawn from bank accounts billions of shillings tied up with various corruption scandals.

Contacted for comment on the BoT move, some financial experts in Dar es Salaam cited the infamous External Payment Arrears (EPA) account scandal, through which Sh133 billion was irregularly paid out to some 22 companies and abuse of office for personal gain by some senior government officials as some of factors behind the planned currency changes.

But the minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, disagreed with that position, telling The Citizen in a telephone interview on Wednesday that the currency changes planned by the BoT had nothing to do with EPA scam.

According to the central bank's notice, the deadline for prospective firms to bid for the printing of the Bank of Tanzania currency notes is next Wednesday.

Sources within the bank said the BoT had decided to change notes as part of a plan to mop up the money paid out to some businessmen through the EPA scam.

The sources said that as the crackdown on the EPA scandal suspects intensified, some of them reportedly withdrew large amounts of their loot from their bank accounts, in a move, which had stunned the Government.

"About Sh18 billion was withdrawn from several local banks by the EPA suspects as the Government was planning to seize their assets and confiscate properties. This is a huge sum of money in the local transactions," a source said.

The plan to change the currency, the sources said, was also partly due to the central bank's desire to remove from the notes the signatures of two former officials implicated in various scandals.

The current notes bear the signatures of former BoT Governor Daudi Ballali, who was sacked by President Jakaya Kikwete after it was revealed by an international audit firm, Ernst & Young, that the BoT had lost Sh133 billion under his watch.

The notes also bear the signature of former Finance Minister Basil Mramba, who is facing abuse of office charges at the Kisutu Resident Magistrate's Court in Dar es Salaam.

The Government last changed bank notes in 2003, when it introduced into circulation denominations of Sh500, Sh1,000, Sh2,000, Sh5000, and Sh10, 000.

In 1966, Tanzania broke away from the East African Currency Board and issued its own currency in the denominations of Sh5, Sh10, Sh20 and Sh100.

Source: The Citizen
 
Kwa wabongo tulivyo tender inatangazwa kumbe alisha chukua mtu long time hii ni kama zuga tu.

Kazi kweli kweli. NO COMMENTS.

Kwanini sababu isiwe kuwa mkataba wa kuprint note za zamani umaisha na sasa anatafutwa printer mwingine? kama ni suala la kumuondoa balali na mramba nadha sio lazima kubadilisha note, wengi tumeshuhudia sahii zikibadirishwa bila kubadilisha notes.
 
Mie yangu macho....Suala la kujiuliza . Je ni sababu zipi zilizowafanya hawa jamaa wabadilishe hizi noti Ubora, Inflation/mfumuko wa bei, kuondoa sahihi za watuhumiwa wa ufisadi au janja ya kutengeneza hela kwa kutoa tenda kinyemela? Hawa jamaa inabidi wawaeleze watanzania kinagaubaga hasa wale wa vijijini wasiokuwa na utaalam wa kufahamu uchumi unaendeshwa vipi. Isije kuwa janja yao tu.
 
Back
Top Bottom