inasemekana hatua ya noti za sasa kuwa na signatures (balali na mramba) za watu wote wanatuhumiwa kwa ufisadi imechangia kwa kiasi kikubwa kubadilishwa kwa noti hizo!!! kuna ukweli wakuu? tusaidiane hili.
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.
Inflation TZ iko juu sana kuliko tunavyodaganywa na BOT na serikali. Just imagine bei zilivyokuwa 2005 na sasa baada ya miaka 3 ya JK. Utakuta kuwa bei zimeongezeka karibu mara nne. Kwa infalation rate wanyoizungumzia ya less than 10 % kwa analysis ya kawaida tu kwa kihiyo kama mimi katika masuala ya uchumi bei zisingefika huko. Unless kuna other explanation.
Tangazo hilo ni uthibitisho wa tranparency kwenye kila zote kubwa kubwa na maadam inasimamiwa na WB hakuna chance ya mazingira ya rushwa wala makampuni ya ma midlemen. This will be a clean deal.
...duh! sasa Msimbazi ni buku mbili! Sasa hio elfu kumi sijui itapewa jina gani...mkonga,au tembo
Kwa mujibu wa chanzo changu cha kuaminika kutoka ndani ya National Bureu of Statistics (NBS), ni kuwa inflation rate ya Tanzania kwa sasa iko kati ya 13% na 15%. Mara nyingi takwimu hupikwa kwa makusudi tena kwa maagizo ya hao hao wakubwa (wanasiasa), maana huwa hawataki kusikia ukweli halisi. Hii ndo ile nadharia ya yule mwandishi wa kile kitabu cha "How to lie with Statistics" inapofanya kazi.
Viongozi wetu wanajua kabisa kinachoendelea, lakini kwa makusudi mazima na kwa malengo ya kisiasa hupotosha takwimu ili kukidhi malengo yao na kuwapendezesha wajomba wetu (donors)
...duh! sasa Msimbazi ni buku mbili! Sasa hio elfu kumi sijui itapewa jina gani...mkonga,au tembo