BOT mmeshindwa kuishindanisha pesa uthamani wake kwenye soko la forex duniani mtaweza la dhahabu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Samahani ili Kwa benki kuu najua wengine ni members hapa JF.

Nchi ye rasilimali muhimu Cha Kwanza pesa Yao inathamani.

Tokea tupate uhuru kupitia chama Cha ccm pesa yetu ijawai kuwa na thamani ni zaidi ya kushuka tu.

Ni jambo zuri kama habari zinazosemwa kuanza kununua dhahabu.

Je pesa yetu imeingia kwenye ushindani wa forex duniani na siasa zetu SI tutajikuta ndio tunaishusha dhahabu kabisa.

Ninalo SEMA kunasiku litakuja ni mfano tosha kuwa rasilimali zote tulizokuwa Nazo zijawai kuwa faida na thamani ya pesa yetu.
 
Wewe ni mchumi?
 
Hatuna "exports" za kutosha hutoweza kushindanisha pesa isiyokuwa na dhamana.

Sasa tukikusanya dhahabu ya kutosha tutakuwa na dhaman tosha na wala hatutokuwa na sababu ya BOT kuishindanisha, wenyewe "traders" wa forex wataigombania. Automatically itakuwa ipo linked (tied) na dhahabu, dhahabu ikipanda pesa yetu itapanda, dhahabu ikishuka pesa yetu itashuka.

po hapo ulipo?
 
Unaposema hatuna exposure umeshakubari kuwa hata hizo rasilimali Bado zimekushinda kuweka thamani ya pesa Yako.

Unafahamu Kenya wanaweza kuthaminisha pesa Yao kisoko kwenye madini Tena yanayotoka tz, Congo na sehemu za afrika.

Cha Kwanza Tanzania tukiacha kutetea ujinga kama ule unaotetea ubinafishwaji wa bandari ni Moja ya rasilimali kuu.
Yani ubinafsishe uli ukashindanishe thamani ya pesa Yako wakati bandari muhusika anataka utafute USD kumlipa export .
 
Unafahamu Japanese Yen ni sawa na sh ngapi ya bongo? Tofautisha uimara wa safaru na thamani ya sarafu
Bado narudia pale pale rasilimali za nchi ndizo zinaweza kuipa thamani na uimara pesa.
Nipe mfano hata Mmoja Tanzania yenye rasilimali Moja kwenye soko la dunia tokea kupata uhuru.
 
Unaposema hatuna exposure umeshakubari kuwa hata hizo rasilimali Bado zimekushinda kuweka thamani ya pesa Yako.

Unafahamu Kenya wanaweza kuthaminisha pesa Yao kisoko kwenye madini Tena yanayotoka tz, Congo na sehemu za afrika.

Cha Kwanza Tanzania tukiacha kutetea ujinga kama ule unaotetea ubinafishwaji wa bandari ni Moja ya rasilimali kuu.
Yani ubinafsishe uli ukashindanishe thamani ya pesa Yako wakati bandari muhusika anataka utafute USD kumlipa export .
Sijasema "exposure" kanisome tena, au shetani umelala nao kichwani?

Tafadhali usitie maneno yako kubadili maneno yangu.
 
Back
Top Bottom