BOT is a joke!!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
7,113
9,730
Written by TanzaniaDaima
Tuesday, 25 December 2007
SAKATA la kujiuzulu kwa Gavana wa Benki Kuu, Dk. Daudi Balali, lilichukua sura mpya jana baada ya taasisi hiyo anayoifanyia kazi kutoa taarifa ikisisitiza kuwa kiongozi huyo bado hajajiuzulu.

Taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi katika Ofisi ya Gavana, Joseph Mhando, ilieleza kuwa BoT bado inamfahamu Balali kama gavana wake.

Dk. Balali (Picha: Maktaba)
 
Siku hizi serikali ya JK na tasisi zake ni sawa na ngoma ya mdundiko kila anaye jisikia anajimwaga tu, hata akitaka kumwaga razi ruksa!
 
Quote:-

Taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi katika Ofisi ya Gavana, Joseph Mhando, ilieleza kuwa BoT bado inamfahamu Balali kama gavana wake.

Huku nako kuna something, yaaani haieleweki kinachoendelea mkuu MMJ, hebu tuweke sawa kuna nini huku?
 
Sure we realy need to here something meaningfull!!! serekali mbona Ingananie Hajajiuzulu? what are they benefiting out of that? Maana si bure..!!!
 
Nahisi tulilishwa kasa ili kuua credibility ya JF. Kuna mtu alisema anayo nakala yenye muhuri wa "nyumba kuu" ya kwamba imepokelewa. MKJJ na Hasara/Halisi tuhakikishieni hili jambo
 
Kinachonishangaza hata wenzetu hapa JF wanaodai wana info wamezikalia hawataki kuziweka hapa; baadaye habari zitakapotoka watasema walijua maana walikuwa na hizo taarifa mapema. Haya kuna mwingine alisema tayari anayo report, naye kaikalia, wote hawa ni wenzetu. Kuna haja ya kujitungia freedom of information act yetu hapa, mtu akisema ana information fulani alazimishwe na sheria yetu kuziweka hapa!
 
km,
ni sawa kabisa sio wanaleta uongo.hiki sio kijiwe cha udaku.hizo nyepesi zao bora wazipeleke kwenye udaku .
 
Written by TanzaniaDaima
Tuesday, 25 December 2007
SAKATA la kujiuzulu kwa Gavana wa Benki Kuu, Dk. Daudi Balali, lilichukua sura mpya jana baada ya taasisi hiyo anayoifanyia kazi kutoa taarifa ikisisitiza kuwa kiongozi huyo bado hajajiuzulu.

Taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi katika Ofisi ya Gavana, Joseph Mhando, ilieleza kuwa BoT bado inamfahamu Balali kama gavana wake.

Dk. Balali (Picha: Maktaba)

Kufahamu sio fact.
 
Back
Top Bottom