Naomba kujua hatua za kununua Bond BoT miaka 25

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,340
5,574
Wazoefu, naombeni mniambie procedure ya kununua bond za BOT za miaka 25 ambazo zitauzwa wiki ijayo. Nikisoma link yao sielewi na bahati mbaya nakaa mikoani.

Aliyewahi kununua naomba atiririke procedures alizotumia, asante.
 
Sijawahi nunua but huwa nafuatilia kiasi chake. Bonds za serikali unaweza kuzinunua kupitia mawakala wanaotambuliwa na BOT.

Bank kama NBC na CRDB ni miongoni mwa mawakala. Wapo pia mawakala binafsi. Ili kukununulia, wakala itabidi atoe offer ya kwamba atainunua kiasi gani shilling 100 ya serikali?

Kama offer yako ni sawa, basi utakuwa umeshinda zabuni. Crudely, that's what I know. Wataalamu wataongeza
 
Back
Top Bottom