Boss wangu anitaka kimapenzi......

Alafu wewe talent A ndo ulikuja huku juzi na thread kwamba umpendaye ameshindwa kukutoa bikra unaomba ushauri!Mbona mi hata sijaiona?!Kama una post ya uongo weka kwenye jokes huko tukuelewe!
 
Last edited by a moderator:
Nimeshmripoti kwa polisi, nipe jina tumchukulie RB

Mweh! usijaribu utakuja kukosa mkate, vp jamaa lkn unamsaidiaje?
 
khaaaaa... Kweli chini ya kitovu kuna laana! Huyo mpuuzi dawa yake ni mtego tu.. Tengeneza evidence then mlipue
 
we ndio yule bikra??ishatoka au bado???
 
mpe vitu boss wewe unatoa toa macho nini ....utaishia hivo hivo kuziona galaxy 4 kwenye billboards
 
mpe boss agegede!! siyo ufutio huo useme unaogopa utaisha.
 
Aitunze ili ziongezeke ziwe mbili?
Ndo wewe unamsumbua nini?
Take it from me,miaka 30 jera inakusubiri.
maana hiyo kitu inaangukia kwenye makosa ya ubakaji.
kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
You sound like Jiniazzzzzzzzzzzzzzzz Mkuu.
 
Mfariji huyo kijana aliyefukuzwa kazi kwa kumpa chezo
 
 
we nmekustukia unazingua2 mara useme boyfrend wako kashindwa kukutoa bikra mara boss anakutaka and kwanza tarehe uliyo jiunga ni 18/9/2013 kama ww huzingui bass una account mbili unawapima watu imani
 
Sijawahi sikia samaki anafunzwa kuogelea. Yaani bosi tu unashindwa mkatalia? Je kama ni rais wa mtaa?

Tambua kuwa boss kashika mpini its not that much simple. Lakini suala la kumpa mimi silikubali kabisa. Tukiacha masuala ya marital status ya boss mwanamke unapaswa kwanza kumvulia 'moyo' wako mwanaume kabla ya kumvulia nguo. Hata angekuwa single kama moyo haujamkubali je. Ni vema kuanza kutafuta kazi nyingine kuliko kumvulia nguo mtu ambaye hujampenda.
 
Ule wimbo wa Ferooz, Solo na Juma Nature unaitwaje tena? Mi nakumbuka 'mkate kidevu mharibie huyoo, boss kitambi mkurugenzi manager"
 
Kwamba mi siko JF au?Kwa taarifa yenu huo ushauri mnaompa nimeupata pia,isitoshe anajishaua tu mbona ameishanipa tu,sio mara moja ,mbili wala tatu?

ndo maana nikamwambia, akuletee um....tu kwani unachukua? Si wamwachia hapo hapo tu wala jina huandiki hapo, Pole sana kaka ila endelea na uboss uchwara huo wa kuvua vichupi vya wenyewe. Iko siku utaipata fresh. We jivune kuwa nanihii hao wa wajinga
 

kwanza watu huwa hawaachishwi kazi kienyeji hivi,,,,,and then mpe mzigo jamaa alofukuzwa kazi ili umliwaze
 
na sisi wanaume je????
 
embu nipm cv ya huyo kaka. boss utajuana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…