Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Muache kujirahisisha kwa maboss zenu mwisho wa siku mnaona kazi chungu.
 
Boss na mfanyakazi wote vilaza.
Wanatiana hovyo,unafikiri hapo kuna kazi tena...????

Na mimi nasema Tz yetu hatujawahi vamiwa kivita ama kutekwa wala kupambana na maadui na ndo maana tunaishi kimazoea tofauti na nchi za wenzetu.

We excuse us Sisi sio vilaza
Mapenzi ndo tumeumbiwa na Mungu
 
Wee nitake radhi Mimi nampenda boss wangu tu na sio kila mwanaume wa hapo ofisini so Usitake kujifanya unanijua sanaa .
 
Ye nimeliwa na ntaendelea kuliwa na boss wangu as much as I need and want the bottom line is that we both are enjoying everything we are doing [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mimi ni mwanamke
Sasa anazungumza nao in a way unaona kabisa hapa something is not right Alaf Mimi naishia kuumia tu na kulilia chooni.
Shetani Akuhurumie mbona anakutumikisha sana
Ye nimeliwa na ntaendelea kuliwa na boss wangu as much as I need and want the bottom line is that we both are enjoying everything we are doing [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji2]
Pepo Toka jf toka Pepo.
 
Being inlove with your boss ni uzinzi [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lolzz
Kuwa serious.... Kuna Mapenzi tunayajua hata wewe unayajua afu kuna hizo Fucking games za wewe na Boss wako.
Ushaliwa kimasihara, Option uendelee kuliwa ovyo ovyo au usitishe hiyo safari Kwani Mwanaume ni Boss tu?
 
It’s not a game it’s being inlove, na sijaliwa kimasihara nilitaka mwenyewe
Yes na nitaendelea kuliwa ovyo as u said na Boss wangu [emoji23][emoji1787]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…