Jijune mfwene
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 256
- 172
Jamanan hivi dunia inaelekea wapi?....wanawake nawaonea huruma sana katika mambo mnayo pitia katika maisha ..... unakuta mara bosi ananitaka kimapenzi mara mjomba alitoa usichana wangu, mara nilibakwa nikiwa mdogo, mara mume wangu anataka tigo hiv kwanin baadhi ya wanaume tunavya hivyo kuwadhalilisha wanawake ? ....yaani huwa naumia sana nikiona mwanamke anadhalilishwa kwa mambo ya kishenzi, kumpa tu uhamisho mpaka mgegedo, wengine mnashauli ampe pachu kama ni dada yako, ndugu au mdogo wako anafanyiwa hivyo we utaona poa tu...........npm namba yake nimsaidie kama hutojali.
vinashawishigi kavu vikishajijua vina matatizo ya kiufundi
Na anaweza ajitume hadi Jasho lakin akaishia kuambiwa 'U are so Sweet' na uhamisho ukaishia hapo.
Akijituma si ndo BOSS ataona wivu wa yeye kuondoka?
Hakuna ubaya kujaribu.
Inabidi uokoke ili uuone ufalme wa Mungu
Usijidanganye kuna kuokoka huku unamuabudu binadam mwenzio.
Heeee!! Ajaribie kwenye tamu?? Aaaargh no way.
Ndio manake, kwanza atapata utamu pili atakuwa ame-boost chances zake za kupata uhamisho kuliko akiweka ngumu.
Inategemea wewe unalitazamaje suala hili, mbona rahisi kwake tu.
Ingekuwa mwanaume analetewa sharti la hivi na boss wake mwanamke mbona hata suala hili lisingeletwa hapa barazani.
Angepukuchuliwa mtu fastaaa na boss badala ya kutoa uhamisho angetoa na nyongeza ya promotion.
Teh teh. Aisee..hapa ndipo umuhimu wa kujiajiri unapotokea..
Asali nyingine hazionjwi zikionjwa ni moja kwa moja. Hivyo ni busara kutoonja onja katika maisha, amini muarobaini ulionao ni zaidi ya asaliKwani boss anataka kuoa au kuonja asali ili atoe uhamisho.
Kila mtu anakula mahali pake pa kazi shehe