Boss wako akikuudhi unamfanyaje?

Nimeipenda hii, acha nijiweke sawa niondoke 'utumwani' Bondpost


 
Last edited by a moderator:
Haaa ndo maana nikaamua niende zangu shopping......
Nimerudi akajifanya kunichekea chekea yaani nimeweka uso wa mbuzi.....


hapo kuna wengine huwa wanaamishia ugomvi nyumbani kwa mkewe/mumewe ila Mimi huwa bosi akiniudhi naenda chooni natukana kinoma nikiona nimeridhika narudi kupiga kazi kama kawa
 
Hutakiwi kubeep kama huna alternative, usikute boss anakutafutia sababu amlete nduguye....


kuna mmoja alibeep boss akapiga..
Kaweka barua ya kuresign boss akamwambia ndicho nilikuwa nakisubiri asante sana,....
 
Hihihiiiiiiii mabosi wengine watahisi utamwendea kwa mganga huchelewi kukuta hirizi mlangoni.....





Hahahahaaa.....

Au,unamface unamwambia..." watch out... Your days are numbered..."
 
Dawa yake ndogo tu!! unatoa KUBWA unaiacha mezani kwake .......
MAPROSOO.
 
BT, kama ni wa kiume
mvalie kidux hadi atoke ofisini.

Unavaa kisketi kinafunika masaburi kidogo afu kila saa uko ofisini, hadi achomoe shati.
 
kongosho,
hii tekniki hatarishi sana.....
Waathirika wanaweza kuwa wengi zaidi ya boss....


BT, kama ni wa kiume
mvalie kidux hadi atoke ofisini.

Unavaa kisketi kinafunika masaburi kidogo afu kila saa uko ofisini, hadi achomoe shati.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, ila kweli
ila unaweza mchemsha kichwa kwa mitego na viswali hadi atie adabu

afu unasepa.

kongosho,
hii tekniki hatarishi sana.....
Waathirika wanaweza kuwa wengi zaidi ya boss....
 
Last edited by a moderator:
Maprosoo,
hiyo kubwa naitolea palepale mezani kwake au niende nayo kwenye rambo nikaibwage ofsn kwake?

Dawa yake ndogo tu!! unatoa KUBWA unaiacha mezani kwake .......
MAPROSOO.
 
Last edited by a moderator:
kwa mi kichwa ngumu, nipe nikupe. Sipumbazwi, na niko tayari kwa lolote.
Akiniudhi kwa maneno machafu namie nammwagia yangu, kwa vitendo na mie namuonyesha jeuri yangu.
 
I feel you mkuu.
Only way ni kumface huyo bosi wako, talk to him/her. Asikufanye urudi home na stress kuzimalizia kwa wengine si vizuri ati!!
 
Kama boss ni kidume na "usafiri" wako unauamini, mvalie ki skin tight halaf jipitishe halaf mwambie kwa lafudhi ya kitanga "Si wajifanya mnoko weye, wallahi usafiri wangu utauona hivi hivi, wataula wengine ela kwa weye ng'o"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…