Boss wa Virgin Airline afuma mfanyakazi usingizini

Mama Mzungu

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
215
368
PICTURE OF THE DAY: This Virgin Airlines employee was caught NAPPING on the office couch when his billionaire boss, Sir Richard Branson stopped by for a visit. But the boss said it was ok because he was only on standby and was getting some much-needed rest!

Kibongobongo hapo huna kazi. Tena kama Ndo Magufuli aibu tu.
 
d8b19509e988f2ec5ca5dc2f3c4cf99e.jpg
 
PICTURE OF THE DAY: This Virgin Airlines employee was caught NAPPING on the office couch when his billionaire boss, Sir Richard Branson stopped by for a visit. But the boss said it was ok because he was only on standby and was getting some much-needed rest!

Kibongobongo hapo huna kazi. Tena kama Ndo Magufuli aibu tu.
Mimi niliwahi kukutwa nimesimama tu gereji, sikupata nafasi ya kujitetea. Nilifukuzwa kazi hata kabla ya lunch
 
Kuna mmbongo alifanya kazi ya weekend wine depot Uingereza akiwa mwanafunzi. Siku moja wamemkuta amezima, boss kupanick, ambulance ikaitwa, amepelekwa hospitali, blood test ikaonekana ana pombe mara tatu ya kiasi stahili kwenye damu. Aliporecover kibarua kilikuwa kimeshaota mbawa.
 
PICTURE OF THE DAY: This Virgin Airlines employee was caught NAPPING on the office couch when his billionaire boss, Sir Richard Branson stopped by for a visit. But the boss said it was ok because he was only on standby and was getting some much-needed rest!

Kibongobongo hapo huna kazi. Tena kama Ndo Magufuli aibu tu.
hata kabla sijafungua hii habari,nilijua tu huyu jamaa atamsamehe mfanyakazi.Ni moja ya matajiri wenye roho ya huruma sana..
 
Kuna mmbongo alifanya kazi ya weekend wine depot Uingereza akiwa mwanafunzi. Siku moja wamemkuta amezima, boss kupanick, ambulance ikaitwa, amepelekwa hospitali, blood test ikaonekana ana pombe mara tatu ya kiasi stahili kwenye damu. Aliporecover kibarua kilikuwa kimeshaota mbawa.
Hahahaaaa hii nimeipenda sana. Askari alifia vitani. Nielekeze hiyo sehemu na mimi nikakomae nao jumamosi
 
Sir Richard Branson mtu poa sana. Hii ilikuwa Austrlia (Virgin Australia) alimkuta stuff amedoze. Ila inaonyesha huyo stuff alilala time kazi zimepungua/kuisha kabisa. Vinginevyo angeachishwa kazi. But kama nilivyosema Richard Branson mtu poa....ana smile all time
 
Kuna mmbongo alifanya kazi ya weekend wine depot Uingereza akiwa mwanafunzi. Siku moja wamemkuta amezima, boss kupanick, ambulance ikaitwa, amepelekwa hospitali, blood test ikaonekana ana pombe mara tatu ya kiasi stahili kwenye damu. Aliporecover kibarua kilikuwa kimeshaota mbawa.
Wa hivyo hata ningekuwa mimi ningemfukuza.
 
PICTURE OF THE DAY: This Virgin Airlines employee was caught NAPPING on the office couch when his billionaire boss, Sir Richard Branson stopped by for a visit. But the boss said it was ok because he was only on standby and was getting some much-needed rest!

Kibongobongo hapo huna kazi. Tena kama Ndo Magufuli aibu tu.

hii ndio sababu hawezi kufukuzwa kwa kulala.
 
huyo boss wako alitisha aisee. Ni haki ya msingi kupata nafasi ya kisikilizwa. Hata Magufuli anakosea kufukuza watu bila utetezi wowote.
Magulufi hafukuzi anasimamisha kisha ujitetea. Liinchi limeoza dadangu tuwe wakweli jamani bila kufanya hivyo anavyofanya hatuwezi kufika. Ulitaka Magufuli afanye nini na mtu aliyesimamisha mita ya mafuta kwa miaka mitano bila kufanyakazi, afanye nini na watu waliopitisha contena zaidi ya 16,000 bila kulipa kodi, afanye nini na watu waliokula pesa za NIDA bila kutoa vitambulisho vya Taifa, afanye nini na watu waliokuwa wakiharibu machine za hospital kila siku ili sisi twende kwenye private hospital. Give a break please, let him do what he is doing and we are behind him and our blessings are upon him.
 
branson2_1465877182321_3017035_ver1.0.jpg

Napenda kujua kilichojiri msela alipostuka kutoka katika lindi la usingizi ilikuwaje........
 
Back
Top Bottom