Boss anataka kunitenganisha na mke wangu

Kama Mkewe ni Mwalimu wa Msingi, ziko shule ngapi za Private za msingi hapa Tanzania? Kwa Mwanamke ni vyema apiganie abaki serikalini ili apate pia muda wa kulea watoto, huko private awaachie wanaume
Gerrard hofu yako ni kuwa serikali anaweza kulala kazi bila kuchukuliwa hatua wakati private nidhamu ni 100%....poleni wavivu wote
 
Last edited by a moderator:
Gerrard hofu yako ni kuwa serikali anaweza kulala kazi bila kuchukuliwa hatua wakati private nidhamu ni 100%....poleni wavivu wote
Nimsema kwa mwanamke... kwa sababu yupo serikalini... ataingia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 9.30 jioni bila kuingiza uvivu sehemu yoyote.... Private nimefanya kazi najua kulivyooo
 
Back
Top Bottom