Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,335
- 23,951
Ulishawahi kuwa na bosi uliyempenda kama au hata zaidi ya rafiki?
Bosi aliyekufundisha kazi...especially ukizingatia field ninayofanya kazi ni tofauti na niliyosomea.
It really hurts me. Ni kati ya wafanyakazi wa serikali ambao kwangu niliwaheshimu kwa usafi na uadilifu wao katika kutunza mali ya umma.
RIP Sir I really learnt a lot from you..Thank you God kwa kuniruhusu kumfahamu.
:amen:
He was a blessing to me.
Wasalaam wapendwa,
Mentor.:crying: