Bosi wangu ananitaka, ushauri tafadhali

Mimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia.

Je naweza kosa kazi?

Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?

Ushauri wenu wana JF
Wacha nikucheke tyu ,ila ungeweka picha yako na ya boss ingependeza zaid.tupia picha zenu,tuwathaminishe kisha ushauri.hapo ingependeza zaid
 
Ni kwamba wanaume tunapukutika au ni nini hii, yani kwa case hii kweliiiii kweliiii kweliii hujui ufanyaje .....sasa kweli vyuma vimekaza mpaka wanaume hata ile man authority inapwaya.....mwanaume anasifika kwa maamuzi hata kama ni mabaya au mazuri mwanaume huwa anatekeleza tu huwa second thought ikija basi hilo jambo ni zito haswa



Mimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia.

Je naweza kosa kazi?

Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?

Ushauri wenu wana JF
 
Unataka wachangiaji tu kwenye thread yako,,, hio sio hoja ya kututaka ushauri hapa
 
Kama una mke wako kaka, jiandae kuingiza ukimwi. Kwenye familia yako. Kama huyo bosi anakutaka, Alisha wataka waliokutangulia. Mwanamke tunaambiwa ni kiumbe dhaifu, Lakini akiwa na madaraka ni hatari kuliko nyoka aina ya black mamba. Ushauri wangu kwako ni huu, mkatalie kabisa, akianza vitisho, pack your bags and go.
 
Back
Top Bottom