Bosi wangu ananitaka, ushauri tafadhali

Watu kama Nyinyi ndio mnasababisha wanaume wa Dar tunadharaulika.
Sasa jamani ulitaka afanyeje kwa mfano? mwezio amekuja kutaka ushauri manake huenda hajawahi kukutana na kituko hicho chakutakiwa na Boss,awaulize wanawake hili swala..lol............
 
Hali kama hizi unapambana nayo kiuwezo wako unafikiri unachoambiwa huku kitakutoa akili zilipo?

Namfikiria Yusufu wa biblia kama asingekimbia lile jambo lisingekuja kujulikana kamwe ila kwa sasa sijui tuwaite watoto/wavulana/vijana wako hovyo kwelikweli yaani mdebwedo mdebwedo kila eneo fikiria kama hili naye anataka ashauriwe tena anatafuta ushauri hadi kwa dada zake huku
Mungu shusha mafuriko ya Nuhu tupotee tuu maana ccm imetuchosha bado na hawa uliowaumba kuwa vichwa wamegeuka mikia
 
Mama _Aheshimiwe mshauri kijana wako, ale mzigo au asile...
 
Kwani nini bwana ww mpe tu vitu vingine sio vya kutaka ushauri, ukimpa kifinyo itapendeza zaidi
 
Mvunje tuu ila kuwa makini na afya yako kama na ww ni mzima,make sure unamtafuna vzr ili salario ipande eeeh sawa broda!?
 
Mimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia.

Je naweza kosa kazi?

Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?

Ushauri wenu wana JF
KWani ukimkanyaga kuna ubaya gani. Acha ubwege.
 
Sijui kwanini bahati kama hizi hazitutokeagi sie wengine,
Piga mzigo kaka, ila ukumbuke kuvaa ndomu,
Ikiwezekana kama hujui mautundu basi jifunze hata thru porn movies ili mkiwa kwenye game umuombe akuongeze mshahara.
Mambo ya sijui ameolewa au umeoa hayo yataji-solve mbele ya safari. Otherwise tusije tukakukuta Kijijini kwenu umerudi baada ya kupigwa chini Job
Ni-inbox namba yake pliz
 
Back
Top Bottom