Nadhani anapisha uchunguzi. Angela Kairuki ajifunze hii technique ya utumbuaji majipu.Pupa hizo! Mabalozi wakiteuliwa tutajua nchi alopangiwa! Hii ni baada ya kupikwa wawe ma diplomat!
Huyu aliombewa na mkapa asitunguliwe kwa mkuki maana jipu lake lilikuwa utosini sasa atakaa kijiweni wakati vijana wakiwa kazini kumfukunyua wamfunge,Nadhani anapisha uchunguzi. Angela Kairuki ajifunze hii technique ya utumbuaji majipu.