Bosi wa Barrick akiwasili nchini!

Bosi wa Barrick akiwasili nchini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Opps, nilifikiri angetua Nairobi Hospital kumwangalia Msaliti Tundu Lisu!

2.jpg



1.jpg
 
Lisu kwa sasa si wa kuangaliwa tena, si mgonjwa tena wa kuhitaji kuangaliwa. Walikwenda kumuona walioona kuna umuhimu huo ilipohitajika.
 
Kuchoma mafuta na Gulfstream 650 kutoka Canada to Dar. sio mchezo,ujue kweli tumewashika pabaya,walikuwa wanatumia Email na simu sasa hivi wameona huyu jamaa bila kumtokea hakitaeleweka..
 
Kuchoma mafuta na Gulfstream 650 kutoka Canada to Dar. sio mchezo,ujuwe kweli tumewashika pabaya,walikuwa wanatumia Email na simu sasa hivi wameona huyu jamaa bila kumtokea hakitaeleweka..
Halafu wanasema hawapati faida kwenye makinikia.
 
Kaja kufanya nini si alipe hizo hela, tupewe Noah zetu.....√√√
 
Haikuwa kwenye ratiba
Wazungu ndiyo wapo vizuri kwenye kutekeleza ratiba zao....

Wabongo ni wachache sana wanao tekeleza ratiba zao.... Leo jioni unapaga kesho unaenda Mbeya unafika moro linakujia wazo unakatisha safari unapitia kwa shemeji dodoma kwenda kumsalimia ukitoka hapo ndiyo unaenda na safari.....
 
Kuchoma mafuta na Gulfstream 650 kutoka Canada to Dar. sio mchezo,ujue kweli tumewashika pabaya,walikuwa wanatumia Email na simu sasa hivi wameona huyu jamaa bila kumtokea hakitaeleweka..
Mafanikio yapo kutembea si hoja tra wamepigwa kibuti deni lao au nao watalipwa sehemu yao
 
Back
Top Bottom