Miaka ya zamani kabila la wakinga lilikuwa linadharauliwa.
Jamaa (mkinga) Sanga akaambiwa na mtu toka hapa we si mkinga huna lolote.
Sanga akajibu.Mkinga ndili mkinga ,lakini ndili mborn townn.
(maana yake yeye ni mkinga lakini ni born town)
Kwani Mafisadi@ccm.gov-tz*wanajua mambo????? wanakujaga tu wazimawazima tu......Haijakolea vizuri kwa sababu kuna tafsiri ndani.Vichekesho vyenye tafsiri havinogi mpaka uelewe vizuri lugha zote zilizotumika: In this case, sikijui Kikinga kwa hiyo utani haunogi.