Boris Johnson akashifu wanawake wavaa hijab

Huyu huwa namfananisha na Prince Philip kwa kuropoka
Ingawa Philip kajichokea sasa hata neno halimtoki tena
 
Soma surat al-Ahzaab na surat an-Noor utaona bali kuna hadithi nyingi za mtume amani iwe juu yake amezungumzia hujabu.

Weka hapa hizo nukuu za msahafu za surat Al Ahzaab na An Noor.

Kuhusu hadithi za mitume, well, hadithi wanazuoni hawazipi sana hadhi kuliko hadithi za sungura na kama Young Killer alivyosema hadithi za sungura mi sitaki eeeh, niletee hadithi za wajuba wenye chura wa Masaki, na ukisikia nauza sura juu ya laki maana uhai ni faidi ikiwa hasara ni nafsi.
 
Inaonekan hata Uislamu huujui na Qur'an huisomi mnaokoteza maneno ya vijiweni na mitandaoni kisha mnapayuka kwa sauti ya punda na hakuna sauti mbaya kuliko sauti ya punda.

Nikikusaidia kujuwekea na namba za aya,sababu nilijua hujui chochoje sema nikawa nastaajabu ujasisiri umeupata ila ni chuki zako tu bila shaka.

Na ukiendelea hivyo utakuwa unaaibika kila siku.
 
I

...sidhani Kama wewe unaijua vizuri uingereza kuliko consevertive wenyewe wanaotaka kumwajibisha kwa kukiuka misingi na miongozo yao ya Uhuru na haki ya kila raia wa nchi hiyo inayowaongoza.....
.

na conservatives wanaomtetea wao hawaijui Uingereza na tamaduni zao?

Sasa kama si kashfa kwanini anatakiwa aombe msamaha hadharani?

anatakiwa na nani aombe msamaha?
 
Nice reply!

Kuna watu duniani wanatukuza mavazi zaidi hata kumuamini Mungu na kutenda mema.
 
Huyu huwa namfananisha na Prince Philip kwa kuropoka
Ingawa Philip kajichokea sasa hata neno halimtoki tena
Kuna wakati Prince Phillip alikwenda China na Queen kwenye official visit. Jioni waliandaliwa diinner na balozi wa Uingereza. Wakiwemo Waingereza wanaoishi China. Prince aliwaambie “ mkikaa sana huku macho yenu yatakuwa madogo “. Kesho yake ilikuwa habari kwenye magazeti.
 
True that..actuallly hata hao wanajidai kumtaka Boris aombe msamaha moyoni wanawaza kingine. Wazungu huwaambii kitu kwa tamaduni zao, ndio maana Germany,Netherlands na kwingineko wala hawafichi..kwao koleo ni koleo na kijiko ni kijiko.. Ukitaka kuishi kwetu fuata tamaduni zetu au la rudi kwenu
 
Unakuja nyumbani kwangu alafu unalazimisha utamaduni wako?

Hata mimi sijisikii vizuri kusemeshwa/kuongea na Mtu simuoni/simtambui ila yeye ananitambua vizuri coz ananiona full.

Kwani tunapowazuia Wamasai wasivae rubega ofisini tunawapa excuse gani? nao si wana haki ya kutetea utamaduni wao?

Namuunga mkono Boris, tamaduni zao kwao, wakiamua kuvuka bahari wawe tayari na ku adapt style mpya.
 

Huyu mzee nilikuwa namfuatilia sana kwa vituko vyake
Alienda Papua New guinea alipotumbuizwa akaropoka tena "mmeacha kula watu"

Lakini boris Johnson nae anakashfa sana sio mara yake ya kwanza hii nae atazeeka vibaya
Ni mwandishi lakini ni mwanasiasa pia
Anajua aliemrithi kazi yake ni muislam
Au ni jibu kwa Labour alietukana wayahudi?
 
Boris is an arrogant man, a typical Etonian lakini hili kitamgharimu. Sadick Khan inaelejea anapitia vikwazo vingi vya kisiasa na invisible racial injustice.
 
Umezungumzia point moja muhimu sana. Unapohamia nchi ngeni basi ni juu yako wewe mhamiaji kuje-adapt na mila na desturi za nchi uliyohamia. Hawa watu wanapiga kelele tu kwa sababu wamekutana na wazungu ambao ni wastaarabu na wanapenda kila mtu awe huru. Hebu tujiulize: Mwanamke wa Western Europe anaweza kutembea mitaa ya Saudia Arabia huku amevaa kimini na wakamwacha bila bughudha kwa ajili ya kuheshimu tamaduni ya nchi nyingine? Kama siyo basi ni kwa nini upande mmoja unang'ang'aniza mavazi yao yaheshimiwe lakini hawako tayari kuheshimu mavazi ya wenzao.
 
Niliwahi kusikiliza debate kati ya wanafunzi wa Oxford na Cambridge katka swala hili. Kuna binti wa kiarabu alikuwa upande wa Cambridge alijibu kuwa Western culture ina expoit wanawake, ili kuuza bidhaa zao wanaona fahari kupamba picha za wanawake wamevaa high heels, bikini na lipstick. Hata enzi za kale wanawake wa West walijistiri.
 
Boris is an arrogant man, a typical Etonian lakini hili kitamgharimu. Sadick Khan inaelejea anapitia vikwazo vingi vya kisiasa na invisible racial injustice.
Thank you
Leo mjadala umepamba moto kuna conservatives wameulizwa huyu atakuwa the next PM majibu yao ni makali sana
Ken Livingstone wa Labour alikuwa mayor wa jiji nae alitimuliwa kwa makosa kama haya lakini amemponda sana boris leo asubuhi hii

Tusubiri tuone kama atatimuliwa nae
 
unaandika kwa mapana kama unajua vile..quran haijaweka uvaaji kwa muislam?..una uhakika au umeona sehemu makala umebeba hivyohivyo
 
Kiukweli mavazi hayo ya wenzetu wengine huyatumia vibaya. Hata kariakoo tu kuna mifano kibao ya watu kukamatwa wakiwa wameshindilia vitu vya wizi kwenye nguo zao.

Na mtu akishafunika uso kavaa miwani hujui mwanaume yupi mwanamke yupi
 
MAJORITY RULE MINORITY RIGHT. IDADI YA WABANTU NA NA HAO WAHINDI IPOJE HUKO MASHULENI UINGEREZA NA HUKU TANZANIA
 
Halafu kesho unakuja kusema Dada zetu wananyanyaswa uarabuni je kama huo ndio uatamaduni wao kunyanyasa weusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…