Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
kwa nini rais fisadi ndio awe analetea watu maendeleo. rais muongo anaweza kuitwa muongo na watu kama mleta mada kwa kutotimiza baadhi ya ahadi zake. haiwezekani rais ikawa lengo lake uongo. lakini rais yawezekana lengo lake likawa kufisidi. rais fisadi aweza hata kuiuza nchi kwa kusingizia analeta maendekeo.Wakuu naomba hebu tujadili hili swala dogo bila kumtaja mtu.
Yupi ni bora kati ya Raisi Muongo au Fisadi?
Raisi muongo namaanisha yeye ni kutawala kwa udanganyifu. Hawaletei wananchi wake maendeleo zaidi ya kuwazidishia shida huku akiwadanganya uchumi unaimalika. Huyu anatumia ile principal ya fimbo na caroti kumuendesha punda.
Raisi Fisadi ni yule anapiga madili lakini bado anawaletea wananchi wake maendeleo na kuimalisha uchumi. Huyu yeye ni kama panya. Yani anakula huku anapuliza.
Naomba niwwkilishe wakuu tujadili bila mihemko.
Kama kweli uyo unayemuisi nifisadi hajafikishwa kwenye mahakama kifisadi huoni kwamba zilikuwa proganda chafu thidi yake Leo tunaambiwa mahakama imekosa kesi nini maana yake? Vp yule aliyejipambanua mtetezi wa wanyonge kumbe muongo ajira hamna,mikopo vyuoni hamna,biashara zimebuma kila kitu hovyooAsa we ulkuwa una maana gani!!!umeshasema fisadi na unajua nini hatima yake!!!bora muongo aliyetuletea elimu bure ndege na heshima baa
Wakuu naomba hebu tujadili hili swala dogo bila kumtaja mtu.
Yupi ni bora kati ya Raisi Muongo au Fisadi?
Raisi muongo namaanisha yeye ni kutawala kwa udanganyifu. Hawaletei wananchi wake maendeleo zaidi ya kuwazidishia shida huku akiwadanganya uchumi unaimalika. Huyu anatumia ile principal ya fimbo na caroti kumuendesha punda.
Raisi Fisadi ni yule anapiga madili lakini bado anawaletea wananchi wake maendeleo na kuimalisha uchumi. Huyu yeye ni kama panya. Yani anakula huku anapuliza.
Naomba niwwkilishe wakuu tujadili bila mihemko.
Asa we ulkuwa una maana gani!!!umeshasema fisadi na unajua nini hatima yake!!!bora muongo aliyetuletea elimu bure ndege na heshima baa