BORA YUPI, kati ya Raisi Muongo au Fisadi?

Fisadi ni hasara zaid,maana kaz yake itakua kupiga dili tu,,Ila mwongo,,kanuni ya uongo hawez kuwadanganya wote kwa wakat wote,,atadanganya kdgo tu kwa watu wachache,Ila fisadi anaweza waweka wote bond
 
Naona ajenda ya ufisadi imezikwa rasmi na Ufipa huku Lumumba sasa wakiishikia kidedea,....kweli siasa ni social mathematics, kila mtu ana jibu lake!
 
Elimu bure ya wapi wakati unalipia elimu kwenye ongezeko la bei ya sukari
Unasifia kuletewa ndege nawakati kipata maji tu ni mtihani
f43a9fa451f9512ce3695789fd571287.jpg
Picha kama hizi zinanitia hasira mimi
 
Fisadi ni hasara zaid,maana kaz yake itakua kupiga dili tu,,Ila mwongo,,kanuni ya uongo hawez kuwadanganya wote kwa wakat wote,,atadanganya kdgo tu kwa watu wachache,Ila fisadi anaweza waweka wote bond
Hata uongo pia ni ufisadi
 
kwa nini rais fisadi ndio awe analetea watu maendeleo. rais muongo anaweza kuitwa muongo na watu kama mleta mada kwa kutotimiza baadhi ya ahadi zake. haiwezekani rais ikawa lengo lake uongo. lakini rais yawezekana lengo lake likawa kufisidi. rais fisadi aweza hata kuiuza nchi kwa kusingizia analeta maendekeo.
Vice versa is true
 
Hakuna Mzima Kwenye Nchi ile Wote ni Mafisadi Kuanzia wa Chini Hadi Wa Juu Kila Mtu Anashutuma za Ufisadi Niwataje?
 
Ipo siku tutakubali tu mambo yanayoendelea, watanzania wameumbiwa kuina mambo yakifanikiwa baada ya sk tatu na hii ni kwa sabb ya upinzani usioeleweka, wazee wa gia angani

Stawaamin tena walimtoa dr s wakawaamn watu wengine ndio maana had sasa chm hakieleweki,, bora hyu tulie nae ipo sk tutamwelewa,kwa sasa hatuwezi maana akili na mawazo zimejaa password
 
Asa we ulkuwa una maana gani!!!umeshasema fisadi na unajua nini hatima yake!!!bora muongo aliyetuletea elimu bure ndege na heshima baa
Kwani huwezi kuwa muongo n ukawa fisadi pia?ndege bei yake shs ngapi,mv dsm shs ngapi,nyumba za umma ziko wapi,uwanja mkuuuuubwa unajengwa wapi,ubinafsi na ukabila umeanzishwa na nani
 
Wakuu naomba hebu tujadili hili swala dogo bila kumtaja mtu.

Yupi ni bora kati ya Raisi Muongo au Fisadi?

Raisi muongo namaanisha yeye ni kutawala kwa udanganyifu. Hawaletei wananchi wake maendeleo zaidi ya kuwazidishia shida huku akiwadanganya uchumi unaimalika. Huyu anatumia ile principal ya fimbo na caroti kumuendesha punda.
67a3800938d78f9f9397fd01eaf9ccda.jpg

Raisi Fisadi ni yule anapiga madili lakini bado anawaletea wananchi wake maendeleo na kuimalisha uchumi. Huyu yeye ni kama panya. Yani anakula huku anapuliza.
b227eeba19783b75efad046ed51d55ae.jpg

Naomba niwwkilishe wakuu tujadili bila mihemko.
Wote hawafai. Tunayemtaka ni mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu basi
 
Anayelazimishwa .... hafurahii heradius12
Mimi sitachagua kitu hapo kati ya Rais Muongo au Fisadi. Kura yangu itaharibika.
Naona wachangiaji wengi wame base kwa Rais Ngosha na Mzee wa Monduli. Wabongo Buaaanaa. Ni Sheeedaaa.

Wakuu naomba hebu tujadili hili swala dogo bila kumtaja mtu.

Yupi ni bora kati ya Raisi Muongo au Fisadi?

Raisi muongo namaanisha yeye ni kutawala kwa udanganyifu. Hawaletei wananchi wake maendeleo zaidi ya kuwazidishia shida huku akiwadanganya uchumi unaimalika. Huyu anatumia ile principal ya fimbo na caroti kumuendesha punda.
67a3800938d78f9f9397fd01eaf9ccda.jpg

Raisi Fisadi ni yule anapiga madili lakini bado anawaletea wananchi wake maendeleo na kuimalisha uchumi. Huyu yeye ni kama panya. Yani anakula huku anapuliza.
b227eeba19783b75efad046ed51d55ae.jpg

Naomba niwwkilishe wakuu tujadili bila mihemko.
 
Ni heri ya fisadi hua ana huruma japo kwa asilimia chache,Kwasababu atajitahidi kuziba mifereji mingi ya ufisadi ili apate yeye kingi kinacho baki atawapa.ila muongo kamwe hawezi kujali nyie kwani hata yeye hali wanaokula ni wasomi tena kwa akili nyingi na huwezi kujua ulaji wao.
 
Na bado maana mlimtukana sana jk baba watu wanafiki nyinyi na sasa mnamtukana baba jesca
 
Back
Top Bottom