Bora wakati ule tulipokuwa na Rais Lowassa

kwa nchi yetu ilipofikia, wana CCM waadilifu hawapewi nafasi simply kwa kuwa watatenda haki na kuwagusa 'wakubwa'. CCM ya Nyerere imejifia. Nawashauri wana CCM wanaonyimwa fursa kwa uadilifu wao watafute alternative badala ya kuomba rehema za wanyang'anyi na makundi yasiyo na tija kwa taaifa...

Lowassa wengi hatumpendi kwa sababu ya ufisadi wake lakini tumnyonge huku tukimpa haki yake. Alikuwa mchapa kazi. Angekuwapo Lowassa wahuni hawa wanaotunyima mafuta unadhani wangefanya hivyo kwa masaa sita? Taarifa ni kwamba Kikwete aliwaalika kula futari naye ndipo akawabembeleza kurejea kuuza mafuta!

Hey wo told u dis kwamba jk aliwaita wauza mafuta akala nao futari
toa prove km cdm na ucmsingizie babaliz wa wa2

M done Lowassa fisadi,Powah bt alijitahidi mpen cfa yake hakuwa kigeugeu
By ze way pm pinda cmuelew nowadays kabisa,

Huwezi jadili utawala wa JK bila kumjadili Lowasa. Utawala wa sasa umeyumba sana baada ya Lowasa kulazimishwa na bunge kujiuzulu. Amebakia Magufuli ndiye anaipa uhai serikali sasa.

Hapo mnaposema amelazimishwa kujiuzu ndo mnanikera kwani serikali yetu ingekua na tabia yakumwajibisha mtu mngeuona ukweli na haya mnayomtetea nayo yasingalipo. Na ukweli wa mambo EL ni fisadi wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa na baba wa taifa ashatoa onyo juu yake ila waTZ tukampuuzia haijtatosha sasa mwampigia promo la uraisi poleni sana enyi wapumbavu msioelimika

hakuna nafuu cha muhimu ni kuondoa system nzima iliyooza ambayo ndio inasababisha tufikirie hivi kwa sababu baba riz 1 kafanya sub ya kichovu katoa afadhali kaingiza potelea mbali lowasa mwizi pinda mnafiki mlinda wezi na utendaji sifuri kwa ss hivi ha2wezi kupata waziri mkuu msafi ndani ya ccm hata hao wakina six, mwakyembe ni wanafiki wa2pu

Hapo kwa pinda umesahau sio mnafiki na mlinda wezi tu pia ni mwongo kwa taifa na mtetea wauaji wa raia wasio na hatia

Katika serikali yetu inabidi watu watano watoke,haijalishi wajiuzuru,wafukuzwe au wapate ajali washindwe kufanya kazi ndo tutaendele.hawa ni RAISI,W/mkuu,NGELEJA,MAKINDA na LUKUVI.

Sita, Lowasa na gamba kiunoni (chenge) mbona hujawaweka?

Hata mimi namuunga mkono huyu jamaa, offcoz Edward ni mtu aliyekumbwa na kASHFA ya Richmond but yupo vizuri mno katika uchapakazi kushnda huyu Bwana Mizengo. wewe mwenye fikiri tangu unasoma shule ya msingi hadi hapo ulipo sasa, walimu wako walikuwa wanakwambia Waziri Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa Serikali, so any mistake that happen in Regime lazima aonekane kashiriki kwa upande mmoja au mwingine hata kama Hajakusudia, na ndio maana yale mambo yalimkuta, tofauti na Bw. Mizengo anakuwa na tabia ya uoga na unafiki tu, tena pengine anausika na mambo ya Jairo. Lowasa is a best , hache mambo yenu, ndani ya CCm hAKUNA M2 mwengne hanayeweza kufata nyayo za Edward bwana.

kwahiyo mkuu unashauri bora arudishwe aendelee kuiba afu asimamie vizuri au tutafute mtu ambeye sio mbadhilifu?

isije ikawa ombwe hili linaonekana zaidi kutokana na kupanga mbinu za kumwangusha Rais,ili tu ionekane kuwa fulani anafaa .Mungu ibariki Tanzania

Kweli kweli mkuu ndo kitu jamaa anachojitahidi kukifanya ndo hicho

Tushajua lowasa ni fisadi na si mwadhilifu basi tujiadhari nae

sidhani kama kuna umuhimu wa kumjadili lowassa kwani si muadilifu. tunataka viongozi waadilifu. full stop.

<br / Embu bac jaribu kumuangalia huyu 2lo naye, je yeye ni mwadilifu? Kwangu mm ni Rais ambaye hakuwahi kuwa rais tangu kachaguliwa hili awe rais, so nakubaliana kwa % chache huyu bwana mkubwa juu ya Lowasa,

Katika serikali yetu inabidi watu watano watoke,haijalishi wajiuzuru,wafukuzwe au wapate ajali washindwe kufanya kazi ndo tutaendele.hawa ni RAISI,W/mkuu,NGELEJA,MAKINDA na LUKUVI.
Prof. Jumanne Abdallah Maghembe , Natumaini wachangiaji wote wakichambua kwa makini sana hakuna alieko msafi hata mmoja. Na tufanye Uchaguzi mpya tu tuingize serikali mpya. Huyo magufuli anapigiwa ufagio sio yule alieuza nyumba za serikali sawa na Bure mpaka sasa mawaziri wenzake wanakaa hotelini

Back
Top Bottom