We jamaa kuna vitu tunafanana sanaMimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).
Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)
Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.
Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)
Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3
Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.
Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,
Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
Mkuu fanya fanya.Mimi nataka nirudie pepa PCM

Ntakucheki hata tubonge kiasi.We jamaa kuna vitu tunafanana sana
Usijaribu hizo comb zenye phys maana mpk hapo akil yako imesha hama tyr mkuu sasa ukienda kusoma maprojectile now na madudu ya doppler+madudu mengine ndo utazid pagawa utahis dunia imekutengaMimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).
Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)
Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.
Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)
Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3
Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.
Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,
Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
Sio kweli mkuu.Usijaribu hizo comb zenye phys maana mpk hapo akil yako imesha hama tyr mkuu sasa ukienda kusoma maprojectile now na madudu ya doppler+madudu mengine ndo utazid pagawa utahis dunia imekutenga
All in all sikutishi mkuu ni ushauri tu
Quantum mechanics yenyewe siiogopi halafu wewe unakuja kunitisha na classicalUsijaribu hizo comb zenye phys maana mpk hapo akil yako imesha hama tyr mkuu sasa ukienda kusoma maprojectile now na madudu ya doppler+madudu mengine ndo utazid pagawa utahis dunia imekutenga
All in all sikutishi mkuu ni ushauri tu
pcm sio ya kurudia pepa mzee, tobokea huko huko juu. Utapoteza muda bure. Soma diploma uipendayoMimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).
Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)
Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.
Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)
Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3
Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.
Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,
Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
Sasa unafikili hako ka GPA ka 2.3 ni kanini?pcm sio ya kurudia pepa mzee, tobokea huko huko juu. Utapoteza muda bure. Soma diploma uipendayo
Hata afya haufiti mkuu ?Sasa unafikili hako ka GPA ka 2.3 ni kanini?
hiyo 2.3 itakupeleka wapi sasa? utazeeka na TGTS B. Soma diploma upate GPA ya maana ili iwe rahisi kujiendeleza au kwa kifupi soma diploma ya kozi unayotaka kusoma baada ya kureseat.Sasa unafikili hako ka GPA ka 2.3 ni kanini?
Hii iko poa.hiyo 2.3 itakupeleka wapi sasa? utazeeka na TGTS B. Soma diploma upate GPA ya maana ili iwe rahisi kujiendeleza au kwa kifupi soma diploma ya kozi unayotaka kusoma baada ya kureseat.
ungeandika for fun tokea mwanzo nsingejibuMimi sitaki diploma ya pili.
diploma nlonayo inatosha, TGTS yangu sio B na narudi shule ku reseat for funny nikifaulu ntasoma coz nayoitaka, nikifeli poa tu maanayake kazi nilionayo nataikubali rasmi (sitaiacha labda nikitajirika)
Maana najua cha kutafuta ambacho sina ni hela, na hela unaweza kuipata bila vyeti
Hhhhhhungeandika for fun tokea mwanzo nsingejibu
Nimeandika ivyo ili usijibu maana Mwenyewe nisinge taka kirudia mtihani kana ningekuwa sijawahi kusoma diploma.ungeandika for fun tokea mwanzo nsingejibu
Akili ya nini sasa kama huna hela?!Mimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).
Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)
Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.
Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)
Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3
Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.
Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,
Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
Bro inawezekana, mi nimerisit kuanzia f.4 nikatoboa, nikapiga F.6 PC nikaruka na two ya 12 saivi napiga bachelor of arts in internatio rations OUT, of course inawezekana ukijipangaUsijaribu kurisit utajuta