Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Jana nilipata flashback ya enzi zangu wakati nilipokuwa single nikagundua kuwa nilikuwa nahangaika tu, najitesa. Kila demu nilikua namuona mzuri na nataka kumvua nguo tu, naweza piga tungi afu usiku wa manane naanza kupiga masimu kwa vicheche wote kwenye phonebook yangu,naishia kuchoma kiwese kwenda mbaaaali kufuata demu tu, nilikua nikiwa kwenye mawindo sioni uvivu kutumia, nasahau kabisa jinsi nilivyozisotea hela zangu kwenye boksi, hela ilikuwa haikai- ilikuwa ni misosi, mitungi, mikasi na pamba tu! Nikitoka job napitia mahali kula then naendeleza tungi,kujirusha na kuwinda- by then nilikua naona poa tu, I was enjoying life lakini looking back now- I think it was sad, really sad.
Je umeoa/olewa? Unaona mbaliko gani sasa compared to your days of being single? Hujaoana/olewa na umri umesonga? Kwanini?
Je umeoa/olewa? Unaona mbaliko gani sasa compared to your days of being single? Hujaoana/olewa na umri umesonga? Kwanini?