Bora nife

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
543
37
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,360
11,568
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.
kosa liko wapi emma si kaolewa na ampendae bwanaaa?

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,998
1,156
Mkuu, usichukue uamuzi huo. hayo ni mambo ya kawaida sana katika mahusiano. Wachunguze wanadamu, utakuja kugundua kuwa usaliti kwa baadhi yao ni jambo la kawaida sana.

Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,237
13,376
pole...... wataka kujiua coz anafahamika na familia yako..............amedhihirisha wewe hukuwa chaguo lake........inauma lakini yatapita unatakiwa kusonga mbele...............ukijiua ndio utakuwa umempata achan na mawazo machafu

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
107
jiue kaka maisha yenyewe magumu bado wanawake wanakusumbua kunywa sumu inayoitwa sulphon cox ndani ya secon utakuwa umeepukana na machungu. Try it 4 the best.

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,237
799
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Kinachokuuma ni pete yako ya gharama,kuolewa kwake na ampendae au aibu ya kupigwa bao la kisigino?

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,169
35,079
wewe huna akili ndo maana amekukimbia, hiki kweli ndo kitu cha kukufanya ufe, kwani alikuzaa yeye au ameondoka na mkia wako, si utulie utapata mwingine tu, wewe vipi.

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
pole ndugu. heri kakupa nusu shari kuliko angeolewa na ww huku anaendelea na jamaa yake. kivumbi ungekiona baada ya kuingia nae kunyumba! kama unajali sana pete yako, msake umuambie akurudishie.

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
8,181
3,481
Jiue tu inaonekana wewe ndiye ulikuwa na lengo la kuvunja uchumba na baadaye ndoa ya mtu.

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,519
11,266
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.

Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

Kwani huyo kicheche mlizaliwa pamoja?acha ujinga wewe komaa na maisha hivyo ni vitu vya kupita.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,095
126,426
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.

Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana mtaani,na familia yangu.

acha kufikiria kwa masaburi

BornTown

JF-Expert Member
May 7, 2008
1,716
478
Pole kaka mshukuru sana Mungu umemgundua mapema kuwa hakuwa muaminifu kwako fikiria ndio ungekuwa umeshafunga nae ndoa yakakukuta yaliokukuta.....

Shukuru Mungu kwa kila jambo..... Jipange umpya na maisha, kesha ukiomba Mungu akufungulie na akupe chaguo la moyo wako, kumbuka Mke mwema hutoka kwa Bwana

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
hapo tatizo nini hadi ufikirie kujiua??? je ndo amekuingiza dunia ya mapenzi???? kujulikaa ndo kigezo cha mapenzi??

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,786
1,633
Huyo dada ni kicheche pori mana anakubali kuvishwa pete na mwanaume mwngn hlf ndani ya wiki 1 anaolewa na mwanaume mwngn,funga na mshukuru Mungu kwa kukuepusha na janga hl na umwombe akujalie mke mwema.

kisute

Member
Oct 6, 2010
54
3
jiue kaka maisha yenyewe magumu bado wanawake wanakusumbua kunywa sumu inayoitwa sulphon cox ndani ya secon utakuwa umeepukana na machungu. Try it 4 the best.
Ushauri gani mkuu. Wataka nawe uwe mshiriki wa kifo chake??? Emma.one achana nae utapata atakae kupenda kwa dhati b,cause wako wengi duniani.

BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
Huyo dada ni kicheche pori mana anakubali kuvishwa pete na mwanaume mwngn hlf ndani ya wiki 1 anaolewa na mwanaume mwngn,funga na mshukuru Mungu kwa kukuepusha na janga hl na umwombe akujalie mke mwema.

isije ikawa jamaa alitangaza dau na demu akapata tamaa ... ila lazima anaelewa alitendalo ..
kumvisha mtu pete si kumfunga asifanye maamuzi

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
Duh! Pole kaka, inawezekana mungu amekuepusha na mambo mengi juu ya huyo mwanamke

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom