Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,736
Hili ni tatizo japo inawezekana hulioni.. Lilianzia ulaya likaingia bara hindi kwa kasi sasa naona limeshawasha indicator Africa!Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life. Nnacho mshukuru mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria,kiuwezo np vzr.Ila mahusiano no sitaki kuwazwaz Na mwanamke hana faida yeyot,kama nikupika napika ten msosi mtamu,hata n kama n watoto siwatak maan hawana msaad wowote kwang,kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda
Hawa ndio wale hufia chumbani pekeyaoFainali uzeeni mkuu; na kwa umri wako hauko mbali na fainali.
Vv
Kaka nnamirad itakayo nsimamiaFainali uzeeni mkuu; na kwa umri wako hauko mbali na fainali.
Vv
Una nguvu za kiume?.Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life. Nnacho mshukuru mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria,kiuwezo np vzr.Ila mahusiano no sitaki kuwazwaz Na mwanamke hana faida yeyot,kama nikupika napika ten msosi mtamu,hata n kama n watoto siwatak maan hawana msaad wowote kwang,kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda
No asil yangu tangu ukuaji wangu sinaga mazoea na wadadaUna nguvu za kiume?.
Uliwah kuoa alaf ukaona hauna uwezo wa kumpa mtu Mimba ukaachika?.
Una mpenzi?.
Kwa miaka yote hiyo ushawah kukaa na mwanamke ndani?.
Sogea tukae.
No asil yangu tangu ukuaji wangu sinaga mazoea na wadada
No asil yangu tangu ukuaji wangu sinaga mazoea na wadada
Ooh kumbe!Wewe unatatizo la kimkakati na sio kwamba una msimamo wa maana🚮🚮View attachment 3558125
Huwez fanisha kuzaliana kwa wadud na wanyama,na binadamu- hichi ni kiumbe cha tofaut maan kin gharama na matesowadudu, wanyama na mimea yote inazaliana alf wew unaufurahia usingo na miaka yako 46,,,
oya mimi sio mtabiri ila una shida mahali
Mtu anaweza andika uzi kushauri wengine kumbe ana matatizo yake binafsiOoh kumbe!