Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,230
🤣🤣🤣🤣 Imebaki kupractise tu....alaaaHaya ndo madini ya comments nnazopenda mie. Mungu tena.
🤣🤣🤣🤣 Imebaki kupractise tu....alaaaHaya ndo madini ya comments nnazopenda mie. Mungu tena.
100% uwezekano huo upo ndani ya wanawake kuna wanaofaa kuwa wake nao ni wachache na ni bahati KUWAPATA, hao ndio wenye hizo sifa... Nakurudia kusema "WAPO" Sijisifii akiwemo mke wangu kipenz Mama Abby, "Kuoa au kuelewa skuiz ni sawasawa na Kubet tu" Unaweza ukala au ukaliwa... Ni kumtanguliza Mungu akupe macho ufanye chaguo sahihi usiliweKuna uwezekano wa kumpata mtu mwenye hivi vyote