Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Nafikiri anajaribu kuwatamanisha ng'ombe ili atleast aweze kuwamuduJamaa naye amezidi ujinga,yaani ameachia tigo yote nje!
hizo ni mbavu au marimba mkuu @buji bujiView attachment 84128
Ngoja makamanda wangu wamalize mazoezi uone kama ng'ombe watasumbua tena.
View attachment 84128
Ngoja makamanda wangu wamalize mazoezi uone kama ng'ombe watasumbua tena.
Mzizi wa Mbuyu kwa hiyo unataka kusema Wanyasa na ng'ombe akili zao wote sawa?Itakuwa kandokando ya ziwa Nyasa, ndio watu wanatumia sana Maksai kulimia ...na kule nyuma ni milima ya Livingstone..
zhen khuz dachi hiyo.View attachment 84128
Ngoja makamanda wangu wamalize mazoezi uone kama ng'ombe watasumbua tena.
Mzizi wa Mbuyu kwa hiyo unataka kusema Wanyasa na ng'ombe akili zao wote sawa?
Bujibuji, wanyasa huwa hawana aibu aibu hivi! na huenda alikuwa analima uchi akiepuka kuchafua nguo zake kwa matope!
Teh teh teh!ipo siku atakuna na punda,huyu mnyama huwa hataniwi!Nafikiri anajaribu kuwatamanisha ng'ombe ili atleast aweze kuwamudu
Kwani we mtani wa wanyasa au unajipendekeza, isitoshe wanyasa hawana watani huku TANGANYIKA maana kwao ni malawi!