kwani kweli mkwere hakuwepo kiwanjani?
kifupi anagundu
Hivi gundu unalielewaje labda tunatofautiana uelewa.Dear JojiPoji tuwe na busara it is not good to a reasonable person like you to insult our President like that! Whether you like or not JK is legal and official President of TZ as per URT constitution of 1977! Umeipata fact hiyo?
Duuuu!!!!gundu maana yake kimavi. Its true ana gundu tena limemganda. Ni rais alieiba kura na kutumia pesa zetu nyingi kujiweka madarakani. Namchukia zaidi ya shetani. Heko tanganyika stars kwa ushindi. Nasisitiza JK ANAGUNDU.
Hawa WAJINGA wangependa kuona timu yetu ya Taifa inafungwa ili ipate kufungua midomo yao michafu. Sasa kombe tumelichukua na badala ya kutoa pongeza kwa roho mbaya zao wanaleta CHOKOCHOKO zao! Mijitu hii yenye roho mbaya inaweza hata kunywa uji wa mgonjwa!
i like itJK should remain in office contemplating about Dowans, mafisadi want to get money for the next G election 2015.
Watu hawana huruma. Isee! Da!
gundu maana yake kimavi. Its true ana gundu tena limemganda. Ni rais alieiba kura na kutumia pesa zetu nyingi kujiweka madarakani. Namchukia zaidi ya shetani. Heko tanganyika stars kwa ushindi. Nasisitiza JK ANAGUNDU.