Bora Kikwete hakwenda uwanjani tungelia

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,272
47,268
The Kilimanjaro stars 1 Ivory Coast 0 hongera nafikiri hii ni baada ya miaka 16 bila kuwa na kombe la Challenge.

Tuombe tena michuano inayofuata Kikwete asiende uwanjani au apate safari ya ghafla kwenda kutalii nje ya nchi, akiendelea kutohudhulia atakuwa analinusuru taifa na aibu ya mwenda wazimu.
 
unajua akiingia uwanjani wachezaji wanavunjikamoyo wakikumbuka jinsi anavyoendelea kuifanya maskini....wanakosaga morali kabisa vijana wetu wakimona jk....
 
JK should remain in office contemplating about Dowans, mafisadi want to get money for the next G election 2015.
Watu hawana huruma. Isee! Da!
 
Alikuwepo Maalim Seif, nadhani yeye gundu lake sio kali kama la mkwere!!
 
Dear JojiPoji tuwe na busara it is not good to a reasonable person like you to insult our President like that! Whether you like or not JK is legal and official President of TZ as per URT constitution of 1977! Umeipata fact hiyo?
 
Hivi gundu unalielewaje labda tunatofautiana uelewa.
 
Hawa WAJINGA wangependa kuona timu yetu ya Taifa inafungwa ili ipate kufungua midomo yao michafu. Sasa kombe tumelichukua na badala ya kutoa pongeza kwa roho mbaya zao wanaleta CHOKOCHOKO zao! Mijitu hii yenye roho mbaya inaweza hata kunywa uji wa mgonjwa!
 
gundu maana yake kimavi. Its true ana gundu tena limemganda. Ni rais alieiba kura na kutumia pesa zetu nyingi kujiweka madarakani. Namchukia zaidi ya shetani. Heko tanganyika stars kwa ushindi. Nasisitiza JK ANAGUNDU.
 
Duuuu!!!!
 
Nadhan watz wengi tumefurahi leo kwa timu ya Tanganyika (kilimanjaro) kutwaa kombe.
Kwa habari kiongozi wa nchi nadhani pamoja na upenzi wake wa michezo huwa hana bahati na timu ya Taifa maana ktk kumbukumbu zangu tumewahi kushinda mechi moja tu (starts vs bukinafaso - uhuru stadium 2006) zingine zote (kama sikosei) tumenyolewa mbele yake.
Hapa sio dharau kwa JK hata kidogo we love him as our President but ana GUNDU na timu yetu kama ilivyokuwa kwa mzee Mwinyi ndo maana akasema 'kichwa cha mwendawazimu" coz alikuwa anashuhudia tukinyolewa kila akitia timu stadium.

Fred Sumaye ni mmoja wa viongozi waliokuwa na bahati na timu zetu iwe club au T/Stars.
Hii inanikumbusha rafiki yangu mmoja akiona jezi fulani wamevaa manchester united anasema "leo tunafungwa" na huwa hivyo coz ni jezi zenye GUNDU kwao.
Ni hali ambayo si rahisi kuielezea na sidhani kama kuna uhusiano wowote ila uhalisia unakuwa hivyo na ndo maana uswahilini tunasema GUNDU.

Ukiachana na hilo GUNDU naomba tuwape sifa zao Tenga, Msonye na wasaidizi wao maana mashindano yalikuwa bomba ukilinganisha na huko nyuma.
 
gundu maana yake kimavi. Its true ana gundu tena limemganda. Ni rais alieiba kura na kutumia pesa zetu nyingi kujiweka madarakani. Namchukia zaidi ya shetani. Heko tanganyika stars kwa ushindi. Nasisitiza JK ANAGUNDU.

Duuh!!!!!!!!
 
JK ni bora hakwenda baada ya wadau wa soka kumshauri asifanye hivyo nadhani hata kwenye kiti cha Uraisi angejiuzulu kwa maslahi ya Taifa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom