bora iwe hivi

bora iwe hivi

nuriat

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
19
Reaction score
1
hello wanajf hope mpo well wakati mwingine tunawaonea wasichana walo soma eti wanawadharau waume zao pale wanapoolewa na wanaume ambao hawajasoma,kwa upande mwingine nao wanaume wanamatatizo ya kujishtukia utasikia ktk kitu chochote ''au unafanya hv kwa kuwa umesoma'',maneno kama haya huwa yanaboa c siri hasa pale mnapokuwa munaongea mambo ya kawaida tu hauna hata idea kama hiyo.kutokana na haya matatizo ni bora wasomi waoane kwa wasomi au mnasemaje wanajf.
 
Kusoma maana yake nini? Ni kusoma Magazeti ya Udaku, Biblia au Kuran? Au kusoma a,e,i,o,u?
 
ingekuwa mwenza anatafutwa kwa nguvu ya mtu sawa ila kama ni tofauti bado utasubiri sana maneno yako yako kutimia.
 
hello wanajf hope mpo well wakati mwingine tunawaonea wasichana walo soma eti wanawadharau waume zao pale wanapoolewa na wanaume ambao hawajasoma,kwa upande mwingine nao wanaume wanamatatizo ya kujishtukia utasikia ktk kitu chochote ''au unafanya hv kwa kuwa umesoma'',maneno kama haya huwa yanaboa c siri hasa pale mnapokuwa munaongea mambo ya kawaida tu hauna hata idea kama hiyo.kutokana na haya matatizo ni bora wasomi waoane kwa wasomi au mnasemaje wanajf.

Kama hutaki matatizo usioe/olewa kabisa. Hata huyo msomi mnaweza kukwaruzana.

Kuna mtu hataki tabu kaamua kujioa mwenyewe.
 
hata unachosubiria hautakiju lol
im serious, siwezi kuolewa na mwanaume std 7, atazimisha ndoto zangu bureee

kuna ambao wameandikiwa hivyo regardless usomi wao what do they do??
 
khee mtu anajioa mwenyewe kiaje atajioa mwenyewe?
 
ila pesa zao mnazipenda! Na mbona mkibaguliwa hivyo mnalalamika? Hii ndo inasababisha mliosoma mkimbiwe hata na wasomi wenzenu. Hatuoi elimu ila tabia, uzuri na atitudes zako.. Kuna mwalimu mmoja namfahamu aliolewa na mkinga mmoja mfanyabiashara akiwa na diploma. Wakazaa watoto wakaendeleza biashara na baadaye akaanza kusoma mpaka sasa ana masters na mumewe anamheshimu vizuri tu. Biashara zao wanaziendeleza na kuzipanua vizuri kabisa na watoto wao wanasoma nje sasa hivi. Hao wasomi wenu mnaowatafuta mtaishia kununua prado ambalo kila siku linapakiwa home kwa kukosa mafuta.
 
tatizo la gap kubwa la elimu ni inferiority complex inakuwa magnified. insecurity especially mwanaume akioa mwanmke mwenye tudigirii inakuwa unyanyapaa hadi kwa familia nzima! afadhali mwanaume msomi aoe ngumbaru.umeona mambo ya Da Sophy; pata picha mwanaume ndo angekuja hapa kujisifia ujinga!
Kama hutaki matatizo usioe/olewa kabisa. Hata huyo msomi mnaweza kukwaruzana.

Kuna mtu hataki tabu kaamua kujioa mwenyewe.

ukipambana na malaria ya developed county ni approach tafautina ya mgongoni mwa third world. sijui umenielewa manake mwenyewe sijielewi
kuna ambao wameandikiwa hivyo regardless usomi wao what do they do??

naenda kusemakwa mama, kusemaaaaa
#singing
so do i Asprin, love you mingi.
 
Last edited by a moderator:
khee mtu anajioa mwenyewe kiaje atajioa mwenyewe?

Nadine Schweigert, North Dakota Woman, 'Marries Herself,' Opens Up About Self-Marriage

s-NADINE-SCHWEIGERT-WOMAN-MARRIES-HERSELF-large.jpg

Matatizo kujitakia, raha ujipe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom