bora iwe hivi

bora iwe hivi

Yaani kwakweli kuolewa na mtu uliyemzidi Elimu ni natizo sana , actually mimi sijasoma sana nina ka degree kamoja though am planning for my masters , mume wangu ni form six ,lakini utakuta mpo kwenye maongezi ya kawaida utasikia unaambiwa yaani wewe Elimu yako haijakusaidia , oooh hajausomeje hauwezi kunizidi elimu blah,blah, kibao .

Its better kama una mtu ambaye mnaendana Elimu mkawa pamoja maana ni issue sana kuishi na mtu ambaye mtofautiana kielimu japokuwa sio wote ambao ambao wanakuwa wasumbufu but most of them ni disaster utafanyiwa vituko ili mradi aku challenge.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

u a right,
 
Back
Top Bottom