Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Hapa Arusha tangu kampeni za madiwani zimeanza naona tu CHADEMA. ndiyo naona wanalisongesha mapambano naona CCM wameingia mtini
 
Kukubali yaishe ni njia ya mtu yeyote aliyejaaliwa busara japo kidogo. Inawezekana sasa labda viongozi wa CCM Arusha wamepata hiyo busara kiduchu
 
ha ha ha hakika chadema ni noma arusha jamani na hapa dar pangekuwa kama arusha.
 
Hapa Arusha tangu kampeni za madiwani zimeanza naona tu CHADEMA. ndiyo naona wanalisongesha mapambano naona CCM wameingia mtini

Fanyeni marejeo ya uchaguzi mdogo wa Busanda, CCM wakiongozwa na Buldozer Malecela waliweza kushinda bila kupitia kwenye majukwaa
 
Wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba usiku huku kimandolu na kuna taarifa wamepewa ml 60,zaidi wanapita nyumba za kabila la waarusha na wamasai. saa 2 jana usiku walikuwa mskitini wanasubiri waislamu wakitoka wanaomba kura.
 
Kukubali yaishe ni njia ya mtu yeyote aliyejaaliwa busara japo kidogo. Inawezekana sasa labda viongozi wa CCM Arusha wamepata hiyo busara kiduchu

hata 2015 watumie busara hiyohiyo,maana hawana lao!
 
Wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba usiku huku kimandolu na kuna taarifa wamepewa ml 60,zaidi wanapita nyumba za kabila la waarusha na wamasai. saa 2 jana usiku walikuwa mskitini wanasubiri waislamu wakitoka wanaomba kura.

hizo hela ni halali yenu kuzila ila kura CHADEMA.
 
Makundi na chuki ndani ya ccm,
JK kasema Lowasa kwa nguvu yake ataiwezesha CCM ishinde udiwani Makuyuni ghafla kaja Nape kuifuta kauli ya JK kisa hataki kusikia jina Lowasa likitajwa.
 
Hayo ndo matunda ya elimu ya uraia iliyotolewa na Kamanda Lema "Kula CCM, Kura CHADEMA"
 
naona hawa jamaa wanatembea nyumba kwa nyumba kugawa pesa hawana sera za majukwaani tena
 
Ndachuwa na wengineo wote naomba mfahamu kuwa nimebahatika kukutana na madereva wawili waliobeba kura za wizi Busanda na Igunga. Nilimwuliza wa kwanza iweje CDM isindwe Busanda? Akanijibu ilikuwa very simple kwa FFU kurusha mabomu ya machozi kisha watu kutawanyika na kuingiza Ready Made votes kwenye ballot boxes na kuzichukua kura halisi na kuzipiga kiberiti. Vivyo hivyo aliyebeba kura Ready Made votes za Igunga ni rafiki ya jirani yangu. Mbinu zile zile i.e. Same Modus Operandi. Ila kwa Arusha ni kugumu kidogo maana wale wengi wao ni wavuta bangi na watata sana hawachelewi kutembeza sime/mapanga maana Arusha kumkata mtu na sime au panga kisa amekudhulumu jero yaani TZS 500/= ni rahisi sana. Hawana simile kwenye kudai haki yao. Kwenye ugomvi wa ngumi jamaa akishindwa ukaona ametoka mbio kuelekea nyumbani kwake na wewe anza mbio kuepusha kifo maana ujue amefuata sime au panga. Nafikiri CCM wafanye kazi ya ziada kuiba kura. CCM inachukiwa SANA Arusha na majuzi Mulongo kuwatuma Askari wamkamate Mbunge wao kama Jambazi ndiyo amedizisha chuki kupita kiasi. Moshi na Arusha ni safe Heaven ya Chadema
 
Wanaandaa mabox ya kuibia kura. Hawana mbinu nyingine zaidi ya uizi.
 
Wanasema siasa za kupanda jukwaan zinataka vijana nguvu waliyobakiwa nayo ni ya kusubiria watu wakitoka kanisani na misikitini wawape vipeperushi tu.
 
Hata ile kitu tot haikanyagi arusha.
Jambo la ajabu sasa hv ccm wanapiga nguo za rangi ya blue na magar ya kampen wanatumia bendera za chadema.
 
Back
Top Bottom