Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

kampeni za usiku? kwani kuu la maadui dr wa ma dr aka dr maji mafupi yupo huko?
 
Deuteronomy 28:12 The Lord will open to you his good treasury, the heavens, to give the rain to your land in its season and to bless all the work of your hands. And you shall lend to many nations, but you shall not borrow. Be blessed
 
Hii hali inatukatisha tamaa sie magamba....................... wacha tubaki na mkakati wa kudili na wasimamizi wa uchaguzi ili wakimbie na masanduku ya kura
 
Hii hali inatukatisha tamaa sie magamba....................... wacha tubaki na mkakati wa kudili na wasimamizi wa uchaguzi ili wakimbie na masanduku ya kura
Hao ni kuwabana. Ukiwachia upenyo wanabadili matokeo kweli.
 
Hao ni kuwabana. Ukiwachia upenyo wanabadili matokeo kweli.

Tatizo chadema wapo makini kusimamia kura, hapo la msingi magamba lazima tuwaweke wanariadha kuwa wasimamizi wa uchaguzi, tena wanaoweza kukimbia mbio za mita mia.
 
Tatizo chadema wapo makini kusimamia kura, hapo la msingi magamba lazima tuwaweke wanariadha kuwa wasimamizi wa uchaguzi, tena wanaoweza kukimbia mbio za mita mia.
Mkuu Mungi, umesahau ya 2010 kule Tarime. Jamaa wametoka nduki na masanduku halafu walikuwa na vya moto.
 
Kampeni za udiwani za chadema kata ya kimandolu zimekuwa zikijaa wapiga kura kiasi cha kufanya ccm washindwe kuanza kampeni za mchana na kubakia kufanya kampeni za usiku.

lengio nimekuona ukipiga picha hii nilikuwa nyuma yako kewnye kaunta ya nyuma bondeni hongera mkuu...
 
Arusha ni chadema damu damu magamba zzzzzzzziroooo wapige kampeni kama wanajiamini na huyo atakaye piga kampeni laabda awe ana roho ngumu ccm ndiyo iliyo shika madaraka lakini nashangaa gari linye bendera ya ccm likipita ni speed ya ajabu jmani mpaka wenyewe wamejua hawana weledi kwenye nchi yao jamani
 
Naona magamba yameanza kampeni leo vijana wa toyo kama kawa pesa mfukoni kura chadema alisema lema na ndiyo kazi imeanza chezea chadema wewe arusha ccm hawana lao sijui leo kwenye uzinduzi wao watasema lipi?
 
jana cuf walizindua kampeni. mtitiro alikuwepo hapo relini.hawakupata watu ikabidi wawanunulie vijana banana wine wawawekee na muziki hakupata watu zaidi ya 60.arusha kweli ina wenyewe
 
jana cuf walizindua kampeni. mtitiro alikuwepo hapo relini.hawakupata watu ikabidi wawanunulie vijana banana wine wawawekee na muziki hakupata watu zaidi ya 60.arusha kweli ina wenyewe

Umenena mkuu gambaz hizo
 
Nadhani hao ni ccm B walikuwa wana pima upepo ili mme wao atakapokuja yani ccm hawana jipya
 
Ohooooo Chadema, muwe makini. Wakati mnaendelea na kampeni, kumbukeni kuwa wenzenu wanawatumia mabalozi wa nyumba kumi kumi kupiga kampeni nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda. Pia fwedha inatembea, CHADEMA kaza buti.......>!!!!!!!
 
Hayo kwa arusha ni ndoto
 
Back
Top Bottom