Rubi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,615
- 332
si unaona unavyotoka mapovu. mi sijui maana ya kupakatwa wakikupakata wewe huwa wanakupakataje?matusi kama una-P2akatwa vile!!
si unaona unavyotoka mapovu. mi sijui maana ya kupakatwa wakikupakata wewe huwa wanakupakataje?matusi kama una-P2akatwa vile!!
kichwa kidogo ku-p2akatwa na kupakatwa ni tofauti we kilaza!!si unaona unavyotoka mapovu. mi sijui maana ya kupakatwa wakikupakata wewe huwa wanakupakataje?
Fanyeni marejeo ya uchaguzi mdogo wa Busanda, CCM wakiongozwa na Buldozer Malecela waliweza kushinda bila kupitia kwenye majukwaa
Hapa Arusha tangu kampeni za madiwani zimeanza naona tu CHADEMA. ndiyo naona wanalisongesha mapambano naona CCM wameingia mtini
Ndugu yangu hata Makidara Mosi hakuwa muongo kiasi hichoNdachuwa na wengineo wote naomba mfahamu kuwa nimebahatika kukutana na madereva wawili waliobeba kura za wizi Busanda na Igunga. Nilimwuliza wa kwanza iweje CDM isindwe Busanda? Akanijibu ilikuwa very simple kwa FFU kurusha mabomu ya machozi kisha watu kutawanyika na kuingiza Ready Made votes kwenye ballot boxes na kuzichukua kura halisi na kuzipiga kiberiti. Vivyo hivyo aliyebeba kura Ready Made votes za Igunga ni rafiki ya jirani yangu. Mbinu zile zile i.e. Same Modus Operandi. Ila kwa Arusha ni kugumu kidogo maana wale wengi wao ni wavuta bangi na watata sana hawachelewi kutembeza sime/mapanga maana Arusha kumkata mtu na sime au panga kisa amekudhulumu jero yaani TZS 500/= ni rahisi sana. Hawana simile kwenye kudai haki yao. Kwenye ugomvi wa ngumi jamaa akishindwa ukaona ametoka mbio kuelekea nyumbani kwake na wewe anza mbio kuepusha kifo maana ujue amefuata sime au panga. Nafikiri CCM wafanye kazi ya ziada kuiba kura. CCM inachukiwa SANA Arusha na majuzi Mulongo kuwatuma Askari wamkamate Mbunge wao kama Jambazi ndiyo amedizisha chuki kupita kiasi. Moshi na Arusha ni safe Heaven ya Chadema
Fanyeni marejeo ya uchaguzi mdogo wa Busanda, CCM wakiongozwa na Buldozer Malecela waliweza kushinda bila kupitia kwenye majukwaa
kwa hapa Arusha inaitaji mtu asiyekuwa na aibu ya kuzomewa kuitangaza ccmHapa Arusha tangu kampeni za madiwani zimeanza naona tu CHADEMA. ndiyo naona wanalisongesha mapambano naona CCM wameingia mtini
Pia wiki moja kabla ya Uchaguzi Reginald Mengi aliwapa CCM zaidi ya shilingi milioni 100 kisirisiri ili ikafanye kazi maalum.inaonekana wewe hukuwepo ulisikia tu katika vyombo vya habari. Kapeini za busanda CCM ilifanya kwa nguvu kubwa sana mpaka wakawa wanapigana makonde kati yao na CDM na pia mgombea wao akiwa anapiga magoti jukwaani kila mara kuomba kura Danganya watoto.
hata kama ni uwizi wa kura wanajua hawana lao maana machalii wa huko hawataki longolongo.
pia wiki moja kabla ya uchaguzi reginald mengi aliwapa ccm zaidi ya shilingi milioni 100 kisirisiri ili ikafanye kazi maalum.
hata kama ni uwizi wa kura wanajua hawana lao maana machalii wa huko hawataki longolongo.
Makundi na chuki ndani ya ccm,
JK kasema Lowasa kwa nguvu yake ataiwezesha CCM ishinde udiwani Makuyuni ghafla kaja Nape kuifuta kauli ya JK kisa hataki kusikia jina Lowasa likitajwa.
Hizo ni rasharasha tu, maeneo mengi sana watayakimbia mwaka 2015. Mana wanachokifanya sasa hivi ni kupandikiza chuki kwa wananchi badala ya kujitengenezea mtaji wa 2015.Hapa Arusha tangu kampeni za madiwani zimeanza naona tu CHADEMA. ndiyo naona wanalisongesha mapambano naona CCM wameingia mtini
sawa wewe mwenye libichwa likubwa ulieamka na na ambaye wana ku-p2akatwa huwa wanakufanyaje mie mshamba wala sijui maana zaidi ya kuona una bichwa kubwa na domo chafu kama shimo la choo.kichwa kidogo ku-p2akatwa na kupakatwa ni tofauti we kilaza!!
Hapa Arusha tangu kampeni za madiwani zimeanza naona tu CHADEMA. ndiyo naona wanalisongesha mapambano naona CCM wameingia mtini