Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

Ndachuwa na wengineo wote naomba mfahamu kuwa nimebahatika kukutana na madereva wawili waliobeba kura za wizi Busanda na Igunga. Nilimwuliza wa kwanza iweje CDM isindwe Busanda? Akanijibu ilikuwa very simple kwa FFU kurusha mabomu ya machozi kisha watu kutawanyika na kuingiza Ready Made votes kwenye ballot boxes na kuzichukua kura halisi na kuzipiga kiberiti. Vivyo hivyo aliyebeba kura Ready Made votes za Igunga ni rafiki ya jirani yangu. Mbinu zile zile i.e. Same Modus Operandi. Ila kwa Arusha ni kugumu kidogo maana wale wengi wao ni wavuta bangi na watata sana hawachelewi kutembeza sime/mapanga maana Arusha kumkata mtu na sime au panga kisa amekudhulumu jero yaani TZS 500/= ni rahisi sana. Hawana simile kwenye kudai haki yao. Kwenye ugomvi wa ngumi jamaa akishindwa ukaona ametoka mbio kuelekea nyumbani kwake na wewe anza mbio kuepusha kifo maana ujue amefuata sime au panga. Nafikiri CCM wafanye kazi ya ziada kuiba kura. CCM inachukiwa SANA Arusha na majuzi Mulongo kuwatuma Askari wamkamate Mbunge wao kama Jambazi ndiyo amedizisha chuki kupita kiasi. Moshi na Arusha ni safe Heaven ya Chadema
Hii ndio kanda ya Kaskazini wenye uchu wa madaraka wako kanda ya kaskazini, mafisadi wengi tajwa wanatoka kanda ya kaskazini bila kujalii vyama vyao, waliovunja ndoa za watu na kushindwa upadiri wako kanda ya kaskazini lakini angalieni msije makapata presha ya 2010 maana mnajipa matumaini theni wakati wa kupiga kula manakuwa hamjajiandikisha.
 
Fanyeni marejeo ya uchaguzi mdogo wa Busanda, CCM wakiongozwa na Buldozer Malecela waliweza kushinda bila kupitia kwenye majukwaa

inaonekana wewe hukuwepo ulisikia tu katika vyombo vya habari. Kapeini za busanda CCM ilifanya kwa nguvu kubwa sana mpaka wakawa wanapigana makonde kati yao na CDM na pia mgombea wao akiwa anapiga magoti jukwaani kila mara kuomba kura Danganya watoto.
 
ccm lazima waibe hawaweza wakatoka bila kitu
 
Wanasema siasa za kupanda jukwaan zinataka vijana nguvu waliyobakiwa nayo ni ya kusubiria watu wakitoka kanisani na misikitini wawape vipeperushi tu.
Mwigulu si alifanya makanisani kwa wameru kwa kufanya surprise ya elfu 20,000 kw akiala mzee wa kanisa ktk kikao ambacho hakualikwa.Waliambulia nini? Siku hizi Arusha CDM wamefikia level ya Kuweza weka wagombea wake wote ktk uchaguzi mmoja.Yaani wagombea wote wa vyama vyote wakawa ni CDM.
 
Hii ndio kanda ya Kaskazini wenye uchu wa madaraka wako kanda ya kaskazini, mafisadi wengi tajwa wanatoka kanda ya kaskazini bila kujalii vyama vyao, waliovunja ndoa za watu na kushindwa upadiri wako kanda ya kaskazini lakini angalieni msije makapata presha ya 2010 maana mnajipa matumaini theni wakati wa kupiga kula manakuwa hamjajiandikisha.
Utatoka povu hadi utapike utumbo!! mwaka huu!! endelea na kubwabwaja UKANDA! UDINI! UKABILA!! shen-zi type!!
 
Utatoka povu hadi utapike utumbo!! mwaka huu!! endelea na kubwabwaja UKANDA! UDINI! UKABILA!! shen-zi type!!
Taratibu Mhe. mtarajiwa mimi naona wewe ndio watoka povu uhuru wa maoni ni sawa na uhuru wa kuabudu povu la nini? nyie si ndio mwataka yaundwe majimbo ya kikanda kama wabisha pinga! nyie si ndio mwataka raisi ajaye atoke kanda hiyo? hapa inabidi kuchambua na sifa tulizonazo watu wa kanda hiyo kuanzia wizi, na wizi siku zote hauachani na .................... tabia za kifisadi na nyinginezo si sunajua tunavyojijua.
 
Kwa Arusha hata Wafanye kampeni za Kitanda kwa Kitanda kama alivyosema Mama Salima Kikwete MKE wa Rais JK kwenye UCHAGUZI wa 2010 CCM mtaambulia mabua tu maana mpango na timu za kampeni za CHADEMA zinaeleweka kila kata na zimekuja KUINGAMIZA CCM MILELE.
 
Hii ndio kanda ya Kaskazini wenye uchu wa madaraka wako kanda ya kaskazini, mafisadi wengi tajwa wanatoka kanda ya kaskazini bila kujalii vyama vyao, waliovunja ndoa za watu na kushindwa upadiri wako kanda ya kaskazini lakini angalieni msije makapata presha ya 2010 maana mnajipa matumaini theni wakati wa kupiga kula manakuwa hamjajiandikisha.
Hivi vijana wa ccm hawawezi kutoa hoja pasipo kuhusisha ubaguzi, Au ndo dalili za kukata tamaa?
 
Mwigulu si alifanya makanisani kwa wameru kwa kufanya surprise ya elfu 20,000 kw akiala mzee wa kanisa ktk kikao ambacho hakualikwa.Waliambulia nini? Siku hizi Arusha CDM wamefikia level ya Kuweza weka wagombea wake wote ktk uchaguzi mmoja.Yaani wagombea wote wa vyama vyote wakawa ni CDM.[/QUOTE]
Tetesi zilizopo eti hata wagombea wa ccm ni mamluki kutoka chadema hvo hawana iman nao kwa siasa za majukwaan
 
Taratibu Mhe. mtarajiwa mimi naona wewe ndio watoka povu uhuru wa maoni ni sawa na uhuru wa kuabudu povu la nini? nyie si ndio mwataka yaundwe majimbo ya kikanda kama wabisha pinga! nyie si ndio mwataka raisi ajaye atoke kanda hiyo? hapa inabidi kuchambua na sifa tulizonazo watu wa kanda hiyo kuanzia wizi, na wizi siku zote hauachani na .................... tabia za kifisadi na nyinginezo si sunajua tunavyojijua.
matusi kama una-P2akatwa vile!!
 
ha ha ha hakika chadema ni noma arusha jamani na hapa dar pangekuwa kama arusha.

Ninyi watu wa Dar mtawaunga mkono lini watanzania wenzenu wanao pambana kuuondoa utawa huu unao ng'oa kucha, meno na macho ya waandishi? Mmelogwa na nani, mbona zamani mlijaribu lakini sasa mmeshindwa? Sumbawanga mpaka Ntwara wameamka, ninyi vipi hamtaki kumkimbiza mkoloni mweusi?
 
Back
Top Bottom