mnyamiwono
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 708
- 71
Hapa Arusha tangu kampeni za
madiwani zimeanza naona tu CHADEMA. ndiyo naona wanalisongesha
mapambano naona CCM wameingia mtini
wanajua kushinda ni ngumu, ila CDM wasijiamini wakaze buti mpaka kieleweke maana hawa jamaa kwa plan B, c mchezo!