verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,187
- 6,345
Wakuu habari zenu
Nahitaji kujua hii kitu kweli inafanya kazi?
Kwa mwenye ujuzi/uzoefu na ameshawahi kuunlock kuna madhara yoyote?
Ninataka kuunlock Redmi Note 10 pro ningependa kupata muongozo ama recommended tutorial ya kuunlock bootloader ya iyo device
Cc Chief-Mkwawa na wataalam wote