Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,473
- 16,124
Habari zenu wakuu,
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuitengeneza simu yangu aina ya XIAOMI REDMI NOTE 3, 32GB STORAGE . Tatizo ni kuwa niliiflash kwa sp flashtool ikakubali hadi mwisho ila baada ya kumaliza:-
1. haiwaki
2. haichaji
3. haionyeshi kitaa chekundu pale juu nikiconnect kwenye power
4. nikiconnect kwenye pc inadetect the kama baada ya sekunde mbili inadisconnect
cc CHIEF MKWAWA na wengine msaada tafadhari...
Pia kwa mwenye complete display ya hii simu nahitaji maana nilitafuta k/koo nikaambiwa zinaagizwa kwa order na pia kama kuna mtu anaweza kuitengeneza nipo tayari kumpelekea.
Nawasilisha.