Boom: Wanafunzi wa" saut" tumelaaniwa?

don-oba

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
1,387
677
Katika hali ya kushangaza kwa mara nyingine tena wanafunzi wa chuo kikuu cha mt Augustine mwanza wameanza kuishi maisha magumu kutokana na pesa ya loan board kuchelewa kufika. Ni takribani wiki mbili zimepita sasa wanafunzi hawajui wapi pa kuanzia. Uhusiano mbovu kati ya serikali ya wanafunzi na uongozi wa chuo unachangia kwa kiasi kikubwa ucheleweshwaji wa pesa ya mkopo. Uongozi uliopita chini ya MATABA uliingia katika mgogoro na wanafunzi kwa kile kilichoelezwa kutokuwa makini kufuatilia pesa ya mkopo kwa wakati. Hii imemuathiri MATABA katika uchaguzi uliopita pale wanafunzi walipolikataa pandikizi lake ANTHONY.

SWALI; Raisi wa sasa ndugu Malissa Godlisten ataweza kuzikabili hizi changamoto?. Tusubiri tuone!!!. Wanafunzi wa SAUT wana historia ya pekee katika vyuo vikuu hapa nchini kunyenyekea na kuwa waoga katika kudai haki zao.
 
Kwa hyo ndo mmeleta mashitaka huku jf ili tuwasaidie kupata hilo bumu au?
 
salini salam maria mara3 na babayetu mara 3 boom litakuja na migogoro yenu itakwisha
 
Katika hali ya kushangaza kwa mara nyingine tena wanafunzi wa chuo kikuu cha mt Augustine mwanza wameanza kuishi maisha magumu kutokana na pesa ya loan board kuchelewa kufika. Ni takribani wiki mbili zimepita sasa wanafunzi hawajui wapi pa kuanzia. Uhusiano mbovu kati ya serikali ya wanafunzi na uongozi wa chuo unachangia kwa kiasi kikubwa ucheleweshwaji wa pesa ya mkopo. Uongozi uliopita chini ya MATABA uliingia katika mgogoro na wanafunzi kwa kile kilichoelezwa kutokuwa makini kufuatilia pesa ya mkopo kwa wakati. Hii imemuathiri MATABA katika uchaguzi uliopita pale wanafunzi walipolikataa pandikizi lake ANTHONY.

SWALI; Raisi wa sasa ndugu Malissa Godlisten ataweza kuzikabili hizi changamoto?. Tusubiri tuone!!!. Wanafunzi wa SAUT wana historia ya pekee katika vyuo vikuu hapa nchini kunyenyekea na kuwa waoga katika kudai haki zao.

huyo rais wenu ni bogus,hawezi kazi!ngoja msote ndio mjute kumchagua.Mtu mwenyewe makelele mengi na uchadema ndani yake!mliyataka wenyewe msitapetape.
 
Back
Top Bottom