Boom langu natafuta mtu tuanzishe mradi wa kuku kienyeji

Mara 1,000 ulinunulie simu kuliko kutia kwenye kuku.

Nakwambia tena asikudanganye mtu kufuga kuku hasa ukiwa mbali nao
 
Kichwa kina husika kama upo tayari na upo kwenu au sehemu ya kukuruhusu kufuga kuku, natoa laki tano maelezo kwa koment ntakupa

Tumia bumu lako kwa vyema na usome, lengo la kuwa shuleni ni kusoma, tena usome kwa amani bila shida. Haya mahangaiko unayoyatatfuata hayatakusaidia. Mradi wa kuku waweza kufa na wewe ufeli!
 
Tumia bumu lako kwa vyema na usome, lengo la kuwa shuleni ni kusoma, tena usome kwa amani bila shida. Haya mahangaiko unayoyatatfuata hayatakusaidia. Mradi wa kuku waweza kufa na wewe ufeli!
Ach kukatisha tamaa vijana tunaotafuta fursa,asa mtu akifuga kuku kunahusiana vp na kufeli?
 
Mkuu mim mwnyew nina wazo km lako lakin ni mwanafunz pia km ww,, niko dodom na ninahitaj kufugia nyumban Mwanza au Mbeya(kwa mtu) ,, njoo tuyajeng tutafute pesa za ziada mkuu…!!
 
Hapo ni kumshauri au kumpotosha
anunue simu ili imsaidie nini
mshauri mambo ya maana so kumkatisha tamaa
kama ww umeshindwa acha wengine wafanye watatoka tuu.

Sawa ila ninachokisema ninakijua, mwanafunzi ufuge kuku kwa usumbufu wote ule wa kuku TUNADANGANYANA HAPA, bora mara 1000 hiyo pesa ipotee kwenye simu kuliko kuku hutatoka hara na senti
 
Ni mambo ya kipuuzi hayo mkuu? Au wew hujawahi kushika bum nin unafkiri kaz yake ni kula tu?
mimi Boom nilishika mkuu ila siamini kama pesa ile unaweza kufanyia kitu kingine. vinginevyo utajitesa bure tu kuja kushindia na kulalia mkate na maji. tulishawaona watu kama nyie sana. mwishowe mnaishia kwenye madeni na kufeli masomo na stress. haya mambo ya biashara na miradi hembu yapumzishe kidogo
 
Inategemeana lakini mkuu mfano unaweza ukawa unapokea kama laki 5 hivi,then katika matumiz yako unasave kama laki 2 hivi nadhani unaweza ukaituma kijijin ukampa mzazi akusaidie kusave au hata kuwekeza mahali fulani huku ukaendelea kusoma,labda inaweza kuleta shida kama ukijiinvolve katik hayo mambo 100% ila kama ni kwa sehemu tu unaweza ukafanikiwa then after kumaliza chuo unaenda kuendleza miradi kwa hela uliyokuwa unasave wakati huo.
 
nyie vijana someni acheni kutumia boom kwenye mambo ya kipuuzi
Mkuu acha vijana watafute. Kwa wengine boom ni bonus, acha wajiendeleze kiuchumi. No bora huyo kuliko wanaoenda kuziteketeza hizo pesa kwenye starehe.

Hapo akiwa na mradi wake hata baada ya chuo anatafuta kazi kwa amani hata anaweza hasiajiriwe kabisa. Uoni atakua amejikwamua kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom