Ngoja tumu-google tuone alichomoka na ngapi advance level
ndo huyo bhana
![]()
hili boom inaonekana lina raha yake maana laki sita tangu nizaliwe cjwah kushika....nikizipata tu lazima ntafute demu mkali hapo chuo udsm,pia nguo kali ckutaki tena huku kijijini:flypig::flypig:
Nothing about priority and non priority wote boom sawa siunajua boom ni tofauti na laons.boom kila mwanafunzi anaeenda chuo anapata lakini ishu ni mkopo utapata?