Book covers & Movie..

Book covers & Movie..

Naona 98% ni vitabu vya wazungu, je sisi ndio kusema ni vilaza?
Ahsante sana kwa swali lako;

Nakujibu kama ifuatavyo:-

1.Kama utakuwa na kava za vitabu vya waandishi wa Tanzania/lugha ya kiswahili waweza pia kuweka hapa katika uzi,Uzi huu ni shirikishi.

2.Upatikanaji wa vitabu vya waandishi wetu kwa lugha ya kiswahili kidogo ni mgumu sana na pia vipo kwa uchache mno.Utamaduni wa kusoma vitabu katika Jamii yetu bado upo chini sana hivyo bado tunasafari ndefu.

3.Wenzetu walio wengu huko uliowaita "Wazungu" utamaduni wa kusoma majarida na vitabu walianza karne nyingi zilizopita,hivyo inakuwa kama urithi, Maarifa mengi yapo vitabuni,Mfano watu wameanza kusoma vitabu Enzi za Ottoman Empire huku viongozi wao wakiogopa,wakitia ngumu sana, na kuzuia watu wasisome huku wakidai watu wengi wakipata kusoma vitabu na majarida ni ngumu kuwatawala,watu wanapata mwanga mkubwa wa Mambo tofauti tofauti kupitia vitabu na majarida.

4.Kuhusu Vilaza kama ulivyopata kulitumia neno hili,hapana sisi si vilaza.Tunahitaji jitihada za kweli kuwa na utaratibu kwa kujisomea vitabu,lakini kama Mtu hataki hakuna haja ya kumsukuma sana"Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe"
Mfano:Katika wahitimu 50 wa chuo kikuu 1 ndio atapatikana kwa shughuli za usomaji wa vitabu mbalimbali Tofauti na taaaluma aliyoisomea.

main-qimg-d73348845fd70e79747c80298147d1dd-c.jpeg
 
View attachment 837664
Umenena vyema Mkuu.
 
Back
Top Bottom