Bonyeza cha katikati

Feb 24, 2012
9
7
jamaa mmoja alichelewa kuamka kwenda kazini,,
ivyo alipokuwa njiani akiendesha gari kuelekea kazini,, ilibidi aandike msg kumtaarifu boss wake kuwa atachelewa kufika ofisini,, sasa alipomaliza kuandika msg,, akaandika na namba ikabaki kusend,, kabla hajasend dirisha likiwa wazi akatokea kibaka na kupora ile simu,, sasa yule jamaa mwenye simu kuona vile ikabidi apige kelele kumwambia yule kibaka bonyeza cha katikati usend iyo msg.
 
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !

Hata kama mmeamua kurudia rudieni zinazo chekesha !
 
kwa hiyo hata tuliojiunga leo tuanze kazi ya ziada ya kusearch vichekesho ambavyo vishaandikwa humu????????
kama imekuboa mimi kurudia si upotezee tu kwani lazima ucomment?? au umekosa kazi ya kufanya?? au hizo hela unazoweka kwenye modem,, au unazoingilia cyber cafe,, au unazoweka kwenye simu kama zinakuwasha si uende ukawagawie wahitaji??
acha ushari,,,, BE CIVILIZED

:A S 465::A S 465::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::A S 465::A S 465::smash::smash:
 
waambie mkuu.
 
Back
Top Bottom