Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,341
- 8,266
- Thread starter
- #81
Kama umeona hiyo inakusumbua kwanini usitumie muda huo kufuatilia scholarships zingine. Hapa ndani kuna scholarships kibao hadi za China zimewekwa. Huo muda utumie kuapply scholarships zingineNaomba unijibu;
1. Unajua wooster iko wapi?
2. Je wooster na Peru university ni kitu kimoja?
3. Why una apply wooster lakini wanakujibu PERU?